Pikipiki zote zifungwe e plate(electronic Plate number)

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Kutokana na uharaifu wa pikipiki kuongezeka nashauri tutumie technologia ya e-plate kukabiliana na uharifu wa pikipiki na magri. Hii itawezesha kuonyesha movement za pikipiki zote na magari Tanzania nzima.

Pikipiki itasoma number popote ilipo Tanzania na yoyote isiyo na number ya kielectronic ihusishwe na uharifu.

URL. ::: Welcome to e-Plate :::
 
Wazo zuri endapo police na mahakama zitaipatia ushirikiano hiyo teknolojia
 
Kweli ila hapa kwetu ni shughuli yenyewe ile yakubadili namba paka leo nyingine zinadunda barabaran
Hapa kwetu shughuli ipo maana baadhi ya watendaji ni wazembe hawafuatilii. Kama pikipiki ambazo Zina namba za zamani hakuna hataufuatiliaji wowote wakati mda ulishaisha sasa sijui wanasubiria nini wakati kuna pato la taifa hapo.
 
Kweli ila hapa kwetu ni shughuli yenyewe ile yakubadili namba paka leo nyingine zinadunda barabaran hadi leo
 
Hapa kwetu shughuli ipo maana baadhi ya watendaji ni wazembe hawafuatilii. Kama pikipiki ambazo Zina namba za zamani hakuna hataufuatiliaji wowote wakati mda ulishaisha sasa sijui wanasubiria nini wakati kuna pato la taifa hapo.
Mkuu swala la pato la taifa sidhani kama tuko tayari kulipata kiuhalisia. Nilienda kubadilisha plate number, nikaambiwa network inasumbua. Na hiyo ni TRA regional office. Nikakaa zaidi ya masaa 6 network haijarudi. Nikakata tamaa nikasepa. Baada ya wiki nikarudi nikakuta yale yale. Kama sio kukatishana tamaa ya kulipa ni nini sasa?
 
Ila kuna mambo tunashangaza sana.kiukweli tutaendelea kuwa nyuma na tutaibiwa sana tuu.ikiwa hawa vibaka wanao lihenyesha jeshi letu kama wezi wa kukaba na sijui panya rod hawana elimu yoyote ya ujambazi zaidi ya kuishia form 4 na darasa la saba sasa ukianza kufanyika ujambazi na wizi wawatu walioenda shule wenye degree za technologia sijui itakuwaje.
 
Kutokana na uharaifu wa pikipiki kuongezeka nashauri tutumie technologia ya e-plate kukabiliana na uharifu wa pikipiki na magri. Hii itawezesha kuonyesha movement za pikipiki zote na magari Tanzania nzima.

Pikipiki itasoma number popote ilipo Tanzania na yoyote isiyo na number ya kielectronic ihusishwe na uharifu.

URL. ::: Welcome to e-Plate :::
Una wazo zuri sana lakini jifunze kuandika maneno kwa usahihi. Wazo zuri kama hili linapoandikwa na maneno yenye makosa kwa kukosa umakini huonekana kama halifai na watu hawalichukulii kwa uzito mzuri. Kuanzia leo jifunze na ukumbuke: Ni UHALIFU na si uharifu.
 
Hehehehe mimi mkurya L na R ni ugonjwa Tarime nzima
 
Hehehehe mimi mkurya L na R ni ugonjwa Tarime nzima
Mkuu, kwenye kuzungumza nakubalina na wewe. Lakini kuandika tafadhali! Kama ulizingatia tangu shule ya ya msingi lazima tu utajua maneno muhimu ya kiswahili yanavyoandikwa (sio kutamkwa). Ila nadhani sasa utakuwa umeshajua tofauti ya uhalifu na uharifu.
 
Back
Top Bottom