Pikipiki ndogo inauzwa

Pikipiki ndogo inauzwa

Naitaka babaa nna laki 6 cash nije ichukua sa hivi hapo nitie mafuta nitoke naendesha 0674916716
Hiyo
81818be2a6c35e969aa55823932eca4c.jpg
 
Ni pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km.
Anayehitaji ani-pm. Ilikuwa ikitumiwa na Dada kuendea kazini.
[/QUOTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom