BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,444
- 6,984
nisamehe bure..ila inasaidia kuufunya uzi uwe na uhaikaribuni kaka acha maneno ya kanga
nisamehe bure..ila inasaidia kuufunya uzi uwe na uhaikaribuni kaka acha maneno ya kanga
HiyoTupia picha na sema bei
Usjalnisamehe bure..ila inasaidia kuufunya uzi uwe na uhai
Hahaha duh!!Tupia kapicha ka pikipiki mtumiaji (dada) akiwa ana kata kona kuingia kazini.
usicheke kaka ,biashara ni ngumuHahaha duh!!
Mawasiliano yako ndugu..Ama kweli hali ya sasa ni ngumu ,kinachouzikana kirahisi ni mahindi tu,mzigo upo
Siuz tenaMawasiliano yako ndugu..
[emoji19]Siuz tena
Watu tutafute hela ili tuchukue pikipiki alafu leo unasema nin???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji48]Siuz tena
Umeshaiuza? Upo wapi? Kula 0.7 mil chaapNi pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km.
Anayehitaji ani-pm. Ilikuwa ikitumiwa na Dada kuendea kazini.
Nisamehe ilikuwa mwaka Jana,shida iliisha. Kuuza hv vpkpk inahtaj moyo. Yaan raha sana kwenye mafuta,siuz kwa kweli nazugukia mjini.Watu tutafute hela ili tuchukue pikipiki alafu leo unasema nin???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji48]
Asante, ila siuzi tena. Labda baadae maana shida haina taarifaChukua 6 mkuu seriously
Ipo tena naitumia,siuz shida ilikwishaUko maeneo gani,kama bado ipo naihitaji
Siuzi tena mkuuP
Umeshaiuza? Upo wapi? Kula 0.7 mil chaap
Haya ukipigika tena usinisahau naihitajiIpo tena naitumia,siuz shida ilikwisha