Pikipiki ndogo inauzwa

Pikipiki ndogo inauzwa

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
Ni pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km.
Anayehitaji ani-pm. Ilikuwa ikitumiwa na Dada kuendea kazini.
 
nmedownload inayoitwa jamii forums(22mb), nikifungua inaniletea oops!,Ni download ip maana zipo nyingi
Download Tapatalk kwenye Playstore kisha search "JamiiForums " alafu log in
 
Ni pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km.
Anayehitaji ani-pm. Ilikuwa ikitumiwa na Dada kuendea kazini.
3565519fedfe2c954a99ce523be6c4f3.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom