Piki piki inauzwa bei ya kutupa

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
1,021
3,654
1483814562384.jpg
 
Emu totolee ushetani huu.... hivi Mungu akija hawa watamjbu nini jaman... halafu na serikali naninyi ndio kusema mmeshindwa kukomesha kitu kdogo hivi? Na mtu anajitangaza namna hii?
Inamaana umemsukuma kwenye kundi la mashoga moja kwa moja, ama ni bahati mbaya alikaa vibaya, picha yake ikatafsiri tofauti?
Kama itakuwa kama ulivyoikasmia hiyo picha, basi mleta tangazo atakuwa hauzi pikipiki bali anafanya promosheni ya usenge wake hapa.
 
Sasa kama anauza pikipiki kwanini na yeye yupo kwenye pikipiki
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Huyo jamaa nimemuona instagram mchelemchele hivi ni rais gani hawataki Hawa?
 
Inamaana umemsukuma kwenye kundi la mashoga moja kwa moja, ama ni bahati mbaya alikaa vibaya, picha yake ikatafsiri tofauti?
Kama itakuwa kama ulivyoikasmia hiyo picha, basi mleta tangazo atakuwa hauzi pikipiki bali anafanya promosheni ya usenge wake hapa.
Kwani humjui huyu???

Huyu ni rafiki yake na zamaradi, walihojiana clouds huko akaonekana katika kideo.

Ni mpunga flani unakobolewa.
 
Halafu pikipiki za kabila hii (vespa) wanazihusudu sana Zanzibar.
Lazima hili bwabwa litakuwa la pande'izo.
 
Emu totolee ushetani huu.... hivi Mungu akija hawa watamjbu nini jaman... halafu na serikali naninyi ndio kusema mmeshindwa kukomesha kitu kdogo hivi? Na mtu anajitangaza namna hii?

Serikali! hivi huyu ni mtoto wa serikali? hana baba,hana mama hana dini? hana hata marafiki?Yeye ni wa serikali. Haya ngoja tumsaidie,wee mtoto wa serikali pandisha hiyo suruali,usionyeshe nguo zako za ndani.Ni mwiko kufanya hivyo na inawakera wenye akili timamu.Umesikia eee?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom