Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,452
- 4,937
Huyo sio KAOGE kweli??Emu totolee ushetani huu.... hivi Mungu akija hawa watamjbu nini jaman... halafu na serikali naninyi ndio kusema mmeshindwa kukomesha kitu kdogo hivi? Na mtu anajitangaza namna hii?