PIKABOM -comedy show ya kisomi hongera star tv

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
nipo nyumbani naangalia star tv.kwa kweli hii show ni zaidi ya ile ya kitoto kutoka kwa kina masanja.
Tuwape support hawa jamaa

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
nipo nyumbani naangalia star tv.kwa kweli hii show ni zaidi ya ile ya kitoto kutoka kwa kina masanja.
Tuwape support hawa jamaa

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
nakuunga mkono asilimia zote mkubwa kama walivyoelezea shule za kata kama kununua gari na kuanza kununua tairi, side mirror.
 
mimi nimewapenda sana.hakuna utoto kama wa kina masanja.
 
Promo Only:
Promo Only.JPG
 
Kweli we unaendana na jina lako. Yaani ile show unaiita ya kikubwa. Bora ungejiita Pumbavu Lao tu.
 
ILe ni puppet show Tofauti na kina masanja ambapo ni komedi inayojumuisha kuigiza-usiwalinganishe asilani!
 
nipo nyumbani naangalia star tv.kwa kweli hii show ni zaidi ya ile ya kitoto kutoka kwa kina masanja.
Tuwape support hawa jamaa

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwa kweli wale jamaa wanajitahidi,hata mimi huwa naburudika nikiangalia
 
kuna ujumbe mkubwa nyuma ya show hii.kitu ambacho kinashawishi kuwa imeandaliwa na wasomi.
 
Hakika hivi ni vichekesho vya ukweli sio kama ule upuuzi wa clouds tv.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom