Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,653
Mbowe anazidi kubamizwa.
Mbowe anazidi kubamizwa
Diwani Muro kajitoa na kuelekea NCCR. Msikilize anavyomkoromea Mbowe na Halima Mdee.huweleweki.
Mtabaki kujifaragua hivyo hivyo wakati lichama linazidi kuporomoka.Kumbe madiwani!
Nothing New
Muro ni nina bhana ??? aende tu .. kinondoni hakuna alichokifanya alaf anataka kuwa mbunge...shenzi kbsaMtabaki kujifaragua hivyo hivyo wakati lichama linaporomoka.
Hasira na povu la nini sasa?Muro ni nina bhana ??? aende tu .. kinondoni hakuna alichokifanya alaf anataka kuwa mbunge...shenzi kbsa
Diwani kuhama chama sio habari mpya kipindi hichi.
Ww ndo unamuona wa maana...sisi wakazi wa kinondoni hatutaki hata kumsikia...okoteni hzo taka takaHasira na povu la nini sasa?
Tatizo ni jina? Basi tumwite Bia yetu.Mbaya zaidi aliyehama anaitwa muro
Endelea kujipiga kifua konde.Ww ndo unamuona wa maana...sisi wakazi wa kinondoni hatutaki hata kumsikia...okoteni hzo taka taka
Mbowe anazidi kubamizwa.