Pigeni vibuti kiustrarabu

Kibuti ni noma kumwelewesha mtu anayekupenda historia za kumwacha ni ngumu mno. Siku hizi tumeelimika ukiona mtu anaanza kuwa kupunguza mambo fulani usiulize, na we punguza wote ili mflat wote. Ni ngumu lakini inasaidia. Kuna mtu alinipa kibuti kibaya, nikateseka kweli atlast ikakaa kichwani na kutulia.

Basi yule aliyempata alikuwa daktari. Akaja akapa mtoto nae huyo dada wa kike. Ikafikia sasa siku wanataka kwenda kutambulishwa. Alipofika kwa wahanga wa elimu huko wakauliza huyo jamaa yako anafanya kazi gani. akaambiwa for sure kazi iliuwa nzuri sana but isiyo na elimu. Enhe amemaliza chuo gani? Jamaa alikuwa form kavu. Aaaghhh! baba mtu akasema huyo hafai. Mwambie nitakulelea mtoto wako na wewe hiyo elimu ni gundu ndani ya nyumba yangu.

Siku hizi ukienda kuposa mnaulizwa anafanya kazi wapi? ana gari ngapi? amesoma vidato vingapi? alikanyaga mlimani au aliishia sinza kijiweni? kwi kwi kwi! watchout guys. tunakoelekea sasa hivi ni kubaya. Tumuombe Mungu wetu.
 
Hata kama mtu kakosea, au umepata kifaa kizuri zaidi, ni vizuri kuwa na ustarabu.

Huwezi kujua ya kesho, na huonyesha ni kiasi gani unajua mapenzi.

Unajua aslimia zaidi ya 90 wanajuTa maamuzi waliyofanya??

Wewe ambaye unatembea na kibuti moyoni ila hujakifikisha naomba rewind your decision,

Kumbuka kubuti kinaumiza na kinaleta maafa moyoni (disaster) .

jioni njema.
View attachment 39722

ha ha hahaha,, em mrewind hvyo vibuti jamani.
 
Mi nimekishikilia kumrushia bidada. Hatua za mwanzo za kupunguza mawasiliano zimekamilika na naona anasubiri nitamke na mimi sitamki bali ataisoma namba.
 
Vibuti ni collateral damage za mapenzi! so kama unaviogopa usiingie kwenye relationships kabsaaa!-which again I think is next to impossible!Lazima uingie kwenye game and along the way utapigwa tu na wewe utawapiga wengine!Ndo maisha yalivo....YOU GET SOME,YOU LOOSE SOME!
 
Wakati mwingine inabidi kibuti kitembee tu, cha kujivika jaka la moyo nn, huna furaha who are you fooling!!? Akuu nakitembeza tu tu kulingana na muhusika, km anastahili ustaarabu nitakipiga kistaarabu if not nampa tu kikavuuuu!!
 
Wapi miss chagga ye ana kaeksipiriensi na hii kitu, nakumbuka ule uzi wake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom