Piga tena huenda alikuwa bafuni 😄 🤣 😂 😆 Pole jikaze.

Kuna dem kamekuja hapa nilikopanga
Tumeanza mazoea mara kanataka
Wi fi, nikakaunga, tuka exchange namba, nikajua hapa nimeshajiopolea manz, saa moja hii napishana na manz anatoka getini kwenda kukutana na jamaa sasa sielewi. Hata kutuma txt naona michosho tu.
Kaka yake binamu huyo
 
Jaribu saivi atakua hewani, Jana mtaani kwake TANESCO walizingua.
 
Kuna dem kamekuja hapa nilikopanga
Tumeanza mazoea mara kanataka
Wi fi, nikakaunga, tuka exchange namba, nikajua hapa nimeshajiopolea manz, saa moja hii napishana na manz anatoka getini kwenda kukutana na jamaa sasa sielewi. Hata kutuma txt naona michosho tu.
Kausha tu itakuwa anaenda mkesha wa Maombi
 
Noma sana ... Sema ukiwa don't care haya mambo hayawezi kukupa stress
 
Kuna dem kamekuja hapa nilikopanga
Tumeanza mazoea mara kanataka
Wi fi, nikakaunga, tuka exchange namba, nikajua hapa nimeshajiopolea manz, saa moja hii napishana na manz anatoka getini kwenda kukutana na jamaa sasa sielewi. Hata kutuma txt naona michosho tu.
Badilisha password ya wi-fi kakaushie kapuuzi hako
 
Matikiti ya baridi ukila mara nyingi yanasaidia kujiskia vizuri hasa nyakati za usiku ambapo utahisi kama unabanwa pumzi, jitahid pia kulala taa ikiwa inawaka
 
20241201_174406.jpg
 
Back
Top Bottom