piga simu dunia nzima mpaka dk 25 buree

piga simu dunia nzima mpaka dk 25 buree

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,263
Reaction score
44,391
baada ya kupita hapa na pale mekutana na hii site wanakupa hadi dk 25 kupiga simu bure
Fata step hizi
1) open link yao (ipo chini) then register account
2) utatumiwa msg 2 kwenye simu yako ya kwanza itakua na username na password na ya 2 itakua na confirmation link
3) click kwenye confirmation link utapata credit ya dola 1
4) nenda kwenye assist call then eka namba yako then namba ya mtu unaempigia
5) bonyeza call utaanza kupigiwa wewe utaambiwa subiri then atapigiwa unaempigia halafu mtaunganiswha

Nb: dakika 25 sio kwa nchi zote ni baadhi mfano kupiga oman, pakistan ni dk 3 tu

Link hii hapa

https://mini.vyke.com
 
Thanks kaka...! kitu imekubali, bila shaka hawawezi kukuta kwenye credt zetu zilizokuwepo
 
baada ya kupita hapa na pale mekutana na hii site wanakupa hadi dk 25 kupiga simu bure
Fata step hizi
1) open link yao (ipo chini) then register account
2) utatumiwa msg 2 kwenye simu yako ya kwanza itakua na username na password na ya 2 itakua na confirmation link
3) click kwenye confirmation link utapata credit ya dola 1
4) nenda kwenye assist call then eka namba yako then namba ya mtu unaempigia
5) bonyeza call utaanza kupigiwa wewe utaambiwa subiri then atapigiwa unaempigia halafu mtaunganiswha

Nb: dakika 25 sio kwa nchi zote ni baadhi mfano kupiga oman, pakistan ni dk 3 tu

Link hii hapa

https://mini.vyke.com

Yees. Chief
 
Last edited by a moderator:
Imefanya kazi..thanx sana.so salio la dolari utajuaje?
 
tnx broo imefanya kaz mkuu, but nilipiga swaziland hata dakika 3 hazkufka
 
Wakuu kitu kimekubali nimejaribu kutwanga TZ nikitokea Australia hata dk 3 hazikufika. Cha msingi ujumbe umefika!
 
nimepiga hapa hapa bongo just kuunganisha 255 mzigo umekubali niko mwanza nimempigia jamaa nae yuko hapa mwanza... SALIO LANGU NI $0.16 najaribu kupiga tena lakini inagoma
 
Back
Top Bottom