piga kura yako tuone nani aliwika mwaka 2016!

piga kura yako tuone nani aliwika mwaka 2016!

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Naomba tuangalie mtu gani ambaye alitawala katika vichwa vya habari tanzania kutokana na kazi yake,skendo n.k.

chagua kati ya hawa chini:

1 diamond platnum

2 allykiba

3 darassa

4 ben pol

5 mwana FA

6 ney wa mitego

7 manfongo
»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»»
list ya watu wasio wasanii wa muziki

1 soudy brown

2 gabo

3 gadner

4 calisah

5 martin kadinda

»»»»»»»»»»»»»»»»»

upande wa siasa

1 magufuli

2 mh lissu

3 mbowe

4 pro lipumba

5 kikwete

6 makonda
〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓〓
 
Mbona aliyewika zaidi hujamuweka, ambaye ni JECHA.
 
Weka Poll basi. Au hujui jinsi ya kuiweka?
Ok nakupa Darasa,ukishatengeneza Post yako kuna sehemu pameandikwa Thread Tools, ukiiclick itakuletea mahali pa kuadd Sehemu pa kupigia kura kwa Urahisi japo unachanganya sana mambo.
 
rooster-crowing-2.jpeg
 
kaka simu lenyew halina uwezo hili haileti kitu kama icho zaidi ya kuandika posts tu
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom