Piga kura yako sasa: Wangapi bado wana imani na straika wa timu yetu

Piga kura yako sasa: Wangapi bado wana imani na straika wa timu yetu?


  • Total voters
    121
Sina uwezo wa kumfikiria kabisa kwa anayoyatenda, huwa nabaki mdomo wazi
 
Huyu striker hafai yeye kule mbele anapaisha kila akipasiwa kibaya zaidi alimpigia debe beki tatu wa Call me J baada ya beki tatu kucheza faulo kapigiwa kipenga hakusikia Sasa mashabiki na wadhamini wa timu wameng'amua kuwa beki tatu anausajili feki Sasa kaambiwa aonyeshe usajili anasuasua
 
Straika anapaisha tu mipira. Nafasi mia goli moja!!!!
 

iko

Usajili ujao inabidi tuwe na maskauti wabobevu
 
Vumilieni,mbona sie Man United tuko nafasi ya sita,na jana tumeichezea shillingi chooni...?
Tulieni!
 
striker vurugu tu uwanjani anaacha kucheza namba yake yeye kila namba anacheza mara yuko nyuma hatulii uwanjani hayo magoli atafungaje. benchi la ufundi inabidi limwambie atulie kwenye namba yake vinginevyo dk 90 zitaisha hatujapata chochote. Halafu naona kama marefa wanamwogopa anacheza rafu hawampi onyo
 
marefa wa kisasa hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…