Piga Kura ya Maoni safu ya Uongozi mpya CHADEMA kati ya wafuatao

acha kiherehere wewe.kama anafikiria anataka aje mwenyewe atuambie kuwa anatka kuwa mwenyekiti wa chadema na tumuulize uhusiano wake na jack zokka wa usalama wa taifa ambaye alidaiwa kuhusika na njama za kuteswa ulimboka ukiachilia mbali za kutaka kuuawa mwakyembe,slaa na mengi.lakini pia atatuelezea nini hasa kilimzuia jk asiingie kigoma kaskazini kuomba kura za urais.
 
Wazee wa cdm mtei etc walimshauri na kumwambia zito katika uchaguzi uliopita wa cdm kuwa amwachine nafasi hiyo mh.mbowe sababu bado kijana.. Sasa ni nafasi yake kushika hatamu ya uongozi wa juu wa cdm kwani uwezo anao... Na ukatibu apewe mh.j mnyika

Toa uchafu wako hapa.Kama kakutuma mwambie wenyewe wako macho.Nani atampa mtu mwenye ndimi mbili uenyekiti? Amejitahidi kuzusha vurugu kwa kutaka urais kachemsha mwenyewe.Sasa kakutuma uje useme anataka nafasi ya kukizika chama.
Halafu usipende kumtaja Mnyika kwenye mambo yenu ya kijinga.Mnyika hana tamaa za kishetani hivyo.
 
Wazee wa cdm mtei etc walimshauri na kumwambia zito katika uchaguzi uliopita wa cdm kuwa amwachine nafasi hiyo mh.mbowe sababu bado kijana.. Sasa ni nafasi yake kushika hatamu ya uongozi wa juu wa cdm kwani uwezo anao... Na ukatibu apewe mh.j mnyika

Nyie Magamba hamchoki? Wenye nyumba wametulia hawataki makelele ya wapita njia.
 
acha kiherehere wewe.kama anafikiria anataka aje mwenyewe atuambie kuwa anatka kuwa mwenyekiti wa chadema na tumuulize uhusiano wake na jack zokka wa usalama wa taifa ambaye alidaiwa kuhusika na njama za kuteswa ulimboka ukiachilia mbali za kutaka kuuawa mwakyembe,slaa na mengi.lakini pia atatuelezea nini hasa kilimzuia jk asiingie kigoma kaskazini kuomba kura za urais.
Zitto(chicken) comes to roost.
 
Kama katiba ya Chadema inamruhusu kugombea uenyekiti hakuna tatizo,maamuzi yapo kwake mwenyewe,tusigeuke wasemaji wake!
 
HAKI ANAYO NA UWEZO ANAO TENA MKUBWA SANA WA KUONGOZA CDM .... KILA MTU ANAHAKI YA KUGOMBEA URAIS KUSEAM ANATAKA GOMBEA URAIS NI HAKI YAKE..MBONA TUNA SIKIA KILA KUKICHA WATU WA CDM WANATAKA GOMBEA UBUNGE SEHEMU MBALI MBALI MBONA HAMSEMI..... NAFASI NI YAKE SASA NA MSHAURI ZITO AJIANDE KUUKWA M/KITI WA CDM N cc wanachama makini tuko nyuma yake
 
M.kiti, Mbowe. Makamo M.kiti.abdallah Safari Katbu Mkuu.john Mnyika.naibu Katbu Mkuu Subira Waziri. Kwa Zamzibari Wawe Kama Walivyo. Bavicha.mkiti Azizi Himbuka. Makamo Ben Saanane. Katbu Mkuu. John Mallya. Bawacha M.kiti Hawa Mwaifunga Katbu Mkuu. Halima Mdee .baraza La Wazee M.kiti Kimesela. Katbu Mkuu Erasto Singira. Wakurugezi. Zito Kabwe Mambo Ya Nje.antoni Kom Fedha. Bensoni Kigaira.uchaguzi Na Mipango. Waitara Utawala Na Mafunzo. John Mrema Habari. Remija Mtema Uenezi Na Mahusiano Ya Jamii Tundu Lisu Sheria,halimashauri Na Bunge. Dk.mkumbo Siasa Na Elimu. Hapa Ccm Razima watupishe ikuru watake wasitake.
Hizo nafasi zote zinaweza kushikwa na Shibuda,ya nini watu wengi hivyo?
 
Mtawafarakanisha sana chadema lakini hawatafarakana. Kwenu mwenyekiti mmepiga za ndio na hapana,kwa chadema mnawapangia nani awekwe nani asiwekwe. Mna akili kweli?
 
Mtawafarakanisha sana chadema lakini hawatafarakana. Kwenu mwenyekiti mmepiga za ndio na hapana,kwa chadema mnawapangia nani awekwe nani asiwekwe. Mna akili kweli?

I like jf 'cdm'members. You are good detectors of threads intending to divide and rule.
 
kama wanatafutwa viongozi basi safu iliyopo ni bora kuliko ya chama chochote hapa bongo! labda kama tunazungumzia safu ya kikao cha harusi
 
Back
Top Bottom