Piga Kura ya Maoni safu ya Uongozi mpya CHADEMA kati ya wafuatao


Confederate Spy

Confederate Spy

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
426
Points
0
Confederate Spy

Confederate Spy

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
426 0
WANABODI,

Hivi karibuni CCM wamechagua safu yao ya Uongozi.Sasa naomba mods mnisaidie kuiweka vizuri.Kura ya maoni uongozi wa juu CHADEMA.Katibu mkuu ni nafasi ya kuteuliwa.Kwa hiyo tuangalie Mwenyekiti wa chama na wenyeviti wa mabaraza.Kuna kura nyingine ya maoni inaendelea kuhusu mgombea urais chadema kati ya Zitto vs Slaa.Hii hapa chini ni ya mapendekezo ungependa nani katika nafasi hizi kati ya hawa hapa chini?

MWENYEKITI

1: Freeman Mbowe

2: Zitto Kabwe

3: Profesa Abdala Safari

BARAZA LA VIJANA (BAVICHA)

1: Ben Saanane

2: Habibu Mchange

3: Deo Munis

Makamu Mwenyekiti BAVICHA

1: Easter Wassira

2: Shariffa

3: Juliana Shonza

3: Zawadi Khamis


BARAZA LA WANAWAKE (BAWACHA)

1: Halima Mdee

2: Susan kiwanga

3: Naomi Kaihula
 
TUMBIRI

TUMBIRI

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Messages
1,934
Points
0
Age
21
TUMBIRI

TUMBIRI

JF-Expert Member
Joined May 7, 2011
1,934 0
Binafsi Mimi sijaelewa thread yako Mkuu. Unapendekeza wagombea au unataka sisi ndiyo tupendekeze safu mpya??
 
Confederate Spy

Confederate Spy

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
426
Points
0
Confederate Spy

Confederate Spy

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
426 0
Binafsi Mimi sijaelewa thread yako Mkuu. Unapendekeza wagombea au unataka sisi ndiyo tupendekeze safu mpya??
Nimependekeza wagombea alafu wapigiwe kura.
 
B

Bob G

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Messages
2,354
Points
1,195
B

Bob G

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2011
2,354 1,195
siasa za kibongo bana! nikuigaiga tu. mambo ya magamba hayatufai CDm, hatutaki siasa za kizee cdm
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,559
Points
1,225
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,559 1,225
we captern komba uzi wako sijauelewa mkuu
 
Pendael laizer

Pendael laizer

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
961
Points
195
Pendael laizer

Pendael laizer

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
961 195
mleta hii thread ni gamba kiukweli
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,830
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,830 2,000
Jina lako linamaanisha wewe ni Kiongozi katika Wana-Kijani,
a.k.a GAMBA ORIGINAL.

Wenzio wanaopoenda kuiba huwa wanavaa vinyago kuficha sura zao halisi, wewe naona umeamua kuja na sura yako halisi!!
 
B

Bhavick

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
314
Points
0
B

Bhavick

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
314 0
Hakuna anayefaa kwenye uenyekiti Bavicha,kama mimi!mbona jina halipo!
 
mtotowamjini

mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
4,538
Points
0
mtotowamjini

mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2012
4,538 0
cdm hivi hivi ilivyo ibakie hivi hivi...hakuna kilichoharibika...if it aint broke dont fix it
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,673
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,673 2,000
Thread yako ni yakipropaganda tu, badala ya kuacha watu wajichagulie ila wewe tayari unayomajina yako!

Mods tuondoleeni hizi propaganda za ccm
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,847
Points
2,000
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,847 2,000
WANABODI,

Hivi karibuni CCM wamechagua safu yao ya Uongozi.Sasa naomba mods mnisaidie kuiweka vizuri.Kura ya maoni uongozi wa juu CHADEMA.Katibu mkuu ni nafasi ya kuteuliwa.Kwa hiyo tuangalie Mwenyekiti wa chama na wenyeviti wa mabaraza.Kuna kura nyingine ya maoni inaendelea kuhusu mgombea urais chadema kati ya Zitto vs Slaa.Hii hapa chini ni ya mapendekezo ungependa nani katika nafasi hizi kati ya hawa hapa chini?

MWENYEKITI

1:Freeman Mbowe

2:Zitto Kabwe

3:Profesa Abdala Safari
Katika makosa ya kiufundi ambayo CDM wamefanya ni kumweka huyo mzee kamati kuu
 
S

STIDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
998
Points
195
Age
38
S

STIDE

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2011
998 195
Wote wanafaa!! Gamba mkubwa wewe nyo!!
 
Du Bois ideas

Du Bois ideas

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
428
Points
0
Du Bois ideas

Du Bois ideas

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
428 0
Yeyote atakayechaguliwa ni kamanda. Don't worry!!!
 
C

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2007
Messages
2,733
Points
0
C

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2007
2,733 0
Mbona jina langu halipo, hiyo imechakachuliwa!
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
Sasa hivi ni kazi ya kujenga chama si kueneza majungu
 

Forum statistics

Threads 1,294,754
Members 498,027
Posts 31,187,142
Top