Confederate Spy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 426
- 144
Nimependekeza wagombea alafu wapigiwe kura.Binafsi Mimi sijaelewa thread yako Mkuu. Unapendekeza wagombea au unataka sisi ndiyo tupendekeze safu mpya??
Katika makosa ya kiufundi ambayo CDM wamefanya ni kumweka huyo mzee kamati kuuWANABODI,
Hivi karibuni CCM wamechagua safu yao ya Uongozi.Sasa naomba mods mnisaidie kuiweka vizuri.Kura ya maoni uongozi wa juu CHADEMA.Katibu mkuu ni nafasi ya kuteuliwa.Kwa hiyo tuangalie Mwenyekiti wa chama na wenyeviti wa mabaraza.Kuna kura nyingine ya maoni inaendelea kuhusu mgombea urais chadema kati ya Zitto vs Slaa.Hii hapa chini ni ya mapendekezo ungependa nani katika nafasi hizi kati ya hawa hapa chini?
MWENYEKITI
1:Freeman Mbowe
2:Zitto Kabwe
3:Profesa Abdala Safari