Piga Kura ya Maoni safu ya Uongozi mpya CHADEMA kati ya wafuatao

Confederate Spy

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
426
144
WANABODI,

Hivi karibuni CCM wamechagua safu yao ya Uongozi.Sasa naomba mods mnisaidie kuiweka vizuri.Kura ya maoni uongozi wa juu CHADEMA.Katibu mkuu ni nafasi ya kuteuliwa.Kwa hiyo tuangalie Mwenyekiti wa chama na wenyeviti wa mabaraza.Kuna kura nyingine ya maoni inaendelea kuhusu mgombea urais chadema kati ya Zitto vs Slaa.Hii hapa chini ni ya mapendekezo ungependa nani katika nafasi hizi kati ya hawa hapa chini?

MWENYEKITI

1: Freeman Mbowe

2: Zitto Kabwe

3: Profesa Abdala Safari

BARAZA LA VIJANA (BAVICHA)

1: Ben Saanane

2: Habibu Mchange

3: Deo Munis

Makamu Mwenyekiti BAVICHA

1: Easter Wassira

2: Shariffa

3: Juliana Shonza

3: Zawadi Khamis

BARAZA LA WANAWAKE (BAWACHA)

1: Halima Mdee

2: Susan kiwanga

3: Naomi Kaihula
 
Binafsi Mimi sijaelewa thread yako Mkuu. Unapendekeza wagombea au unataka sisi ndiyo tupendekeze safu mpya??
 
Jina lako linamaanisha wewe ni Kiongozi katika Wana-Kijani,
a.k.a GAMBA ORIGINAL.

Wenzio wanaopoenda kuiba huwa wanavaa vinyago kuficha sura zao halisi, wewe naona umeamua kuja na sura yako halisi!!
 
cdm hivi hivi ilivyo ibakie hivi hivi...hakuna kilichoharibika...if it aint broke dont fix it
 
Thread yako ni yakipropaganda tu, badala ya kuacha watu wajichagulie ila wewe tayari unayomajina yako!

Mods tuondoleeni hizi propaganda za ccm
 
WANABODI,

Hivi karibuni CCM wamechagua safu yao ya Uongozi.Sasa naomba mods mnisaidie kuiweka vizuri.Kura ya maoni uongozi wa juu CHADEMA.Katibu mkuu ni nafasi ya kuteuliwa.Kwa hiyo tuangalie Mwenyekiti wa chama na wenyeviti wa mabaraza.Kuna kura nyingine ya maoni inaendelea kuhusu mgombea urais chadema kati ya Zitto vs Slaa.Hii hapa chini ni ya mapendekezo ungependa nani katika nafasi hizi kati ya hawa hapa chini?

MWENYEKITI

1:Freeman Mbowe

2:Zitto Kabwe

3:Profesa Abdala Safari
Katika makosa ya kiufundi ambayo CDM wamefanya ni kumweka huyo mzee kamati kuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom