PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail

Aaaah Baba V, mbona wamcarry sana?
Kwa Arabela amepatia a hundred percent, ila Ciello na lara 1 ndo tuone ataingia nani fainali, lakini wanaweza kujadiliana wakakubaliana hao, si ni watongozwa wenza!!!!?
 
Last edited by a moderator:
napenda kuchukua fursa hii kuwashuru wale wote mlionipigia kura. . .
NAWAPENDA WOTE WOTE!!!!!!
 
Wanachitchat matokeo nimeyaona ila bila ya nyinyi nisingefika hatua hii. Nawashukuru sana sana tena sana. Nawapenda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…