Piga goli moja, magoli mengi sio sifa

Piga goli moja, magoli mengi sio sifa

Dah... kihisabati...Kama unapiga goli 3 kila baada ya siku 1..maana yake Ni goli 1642.. kwa mwaka...Kama kila goli litachukua dk30...itakuwa unetumia dk 49276...ambayo Ni sawa na masaa 822...sawa na siku 34...yaani mwezi mzima unapiga mabao...hauzalishi[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Haahaahaa waambie vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikipiga goli tatu mwanamke husema nimemkomoa na kesho yake hushinda akiwa mnyonge na dhaifu sana,
Kwa nini?
1.Ile raundi ya kwanza huchukua dak 25,30 hadi 40 hapo achana na za maandalizi.
2.Raundi ya pili huchukua dak 45 hadi saa nzima eidha niamue tu kuvuta hisia kali ili nimalize,na mara nyingi huwa nakatiza tu na kumuongopea mwanamke kwamba nimemaliza ili nisimfedheheshe,maana huwa anakuwa amechoka sana na uke kuwa mkavu starehe hupungua.Na hapo naongelea demu awe mzuri na mwenye manjonjo kitandani, ila kama ni wa kawaida na gogo basi raundi moja naweza kwenda saa nzima.
Sasa kwa maelezo hayo machache huwa najiuliza sana wanaopiga raundi 4,hadi 5 wanawezaje?
Au nina matatizo? ??

Never say never
 
Waapie vijana...this is true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom