Piga chini mapema, mwanamke asiyekusaidia katika harakati zako

Acha tu nionekane mbinafsi/kausha damu ila kwa zama hizi za wanaume wa "UONGO GANI ULITUMIA KUPATA DEMU?"
... mwanaume wa kugharamikiwa ni mume tu😃.😃
 
Kama mpenzi wako wa kike hajawahi kukununulia kitu chochote chenye thamani, au kukulipia bili yoyote katika harakati zako za kimaisha, au kukusaidia katika mchango wowote katika majukumu yako ya kifamilia n.k; nakushauri, huyo piga chini mapema; huyo ni kausha damu.

Huwezi kuwa na mwanamke asiyeweza kukusaidia au kutatua changamoto unazopitia katika maisha, huku wewe ukipita mbele za watu kifua mbele ukimwita mpenzi au mke, huku ukiwa hunufaiki na chochote cha maana zaidi ya tendo tu.

Nakushauri piga chini mapema, huko uzeeni mambo ni magumu.​

Hawa ndo wanaume
 
Wanaume tumefikia huku jamani??
Binafsi sijawahi kuwaza kuoa mwanamke anayefanya kazi yoyote .... namshukuru mungu ninaishi mawazo yangu mpaka saiv
Yote kwa yote ni mtazamo wako mkuu nenda naoo
 
Ajitahidi basi ata kusimamia biashara zako, kama zipo lakini.
 
Acha tu nionekane mbinafsi/kausha damu ila kwa zama hizi za wanaume wa "UONGO GANI ULITUMIA KUPATA DEMU?"
... mwanaume wa kugharamikiwa ni mume tu😃.😃
Hutopata mwanaume halisi
 
Back
Top Bottom