Piga chini mapema, mwanamke asiyekusaidia katika harakati zako

Piga chini mapema, mwanamke asiyekusaidia katika harakati zako

Ulichokiandika ndicho alichokisema kwenye interview yake majuzi kati hapa.
Atakuwa ameona mbali, hutakiwi kurudia kosa kama ulikuwa kwenye mahusiano ya kausha damu; toa pesa/matunzo upewe tendo/penzi, huu ni utumwa.
 
vivyo hivyo baadhi ya wanazuoni wametusihii kuwatunza wazazi ili tupate baraka hapa duniani na ahera
Biashara yoyote unategemea upate return kipindi kijacho; hivyo hivyo kwa wazazi wanategemea return ya kile walichokiwekeza kwako; ingawa na wewe familia ulioianzisha inakudai kwa ustawi wa maisha yako binafsi huko mbeleni.​
 
Back
Top Bottom