halafu kuna njemba lina 50 years bado lina dream kama hii....eti mbona bill gate ali-disco! eti bado anasubiri miujiza kama hii
We unamsema nanii... kijani na njano mtoto mzee
ndo ile wanasema.."sea never dry but one day yes." Huyu bila ya shaka yoyte atukuwa ni LI MUTU!
Safi sana, kwa moyo mkunjufuKaka kwa heshima na taadhima naomba niibebe kabisa