Picture messages

Picture messages

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Wadau mara nyingi tunakutana na hizi picha ambazo zina jumbe(wingi wa ujumbe) mbalimbali na unavutiwa nazo.
Nimeona ni vema kupitia Uzi huu tushee picha ambazo tunaona ujumbe wake utawasaidia na wengine...

Haya twende kazi sasa angalia kwa gallery yako na ubandike hapa na wengine tupate.

Legooo.
Cc: mshana jr
 

Attachments

  • 1415794929627.jpg
    1415794929627.jpg
    26.2 KB · Views: 4,124
Last edited by a moderator:
Inaonekana patakuwa na vitu vizuri sana hapa.big up kwa wazo chili mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom