Picture messages

Picture messages

ya kuzoom hii..,,
 
Attachments

  • 1415811134190.jpg
    1415811134190.jpg
    63.3 KB · Views: 882
Nilikuwa sijaelewa huu uzi! Nilidhani picha tu zinazoleta ujumbe/ meseji kama zile za Kingo.
 
Hahahahaha mkuuu ni hatari sijui waliwaza nn kukiweka hiko kipaka.....ule mwendo sasa hahahaha daaaaah!!!

Ushawahi kudaiwa kodi ya nyunba wewe, hasa mwenye nyumba hiyo ndio iwe ajira yake, ukichelewa kulipa akakufuata, umemuona huyo paka mkia ndio unatangulia mbele kupitia hapo katikati maana kodi huna unasubiri uliyemkopesha akulipe ndio utoe ukimpigia japo akupe neno la utulivu unasikia "jaribu baadae" . . .
 
Hahaha ndomana jamaa wakawaza hivyo haha....
Anyway hiii katuni meseji yake ni kwamba work hard so that you live in your own house or if not work hard so the land lord won't bother you asking for rent.
 
Sidhani kama bado zipo. Sijaziona kwenye magazeti siku hizi.

Nilikua nampenda sana kingo enzi za gazeti la mtanzania la zamani....mchoraji anaitwa somebody Gayo....the guy (kingo) won't speak but u'll get the message
 
halafu kuna njemba lina 50 years bado lina dream kama hii....eti mbona bill gate ali-disco! eti bado anasubiri miujiza kama hii

Hahaha umenchekesha kweli....ila kuna picha inasema "its never to late" ina kibibi kina ride motorbike za vijana haha...ngoja niitafute
 
halafu kuna njemba lina 50 years bado lina dream kama hii....eti mbona bill gate ali-disco! eti bado anasubiri miujiza kama hii
ndo ile wanasema.."sea never dry but one day yes." Huyu bila ya shaka yoyte atukuwa ni LI MUTU!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom