Picnic ya wanajamiforums

kuna kenge mmoja aliecha Mpwa wangu Elli kapigwa ban, mjulisheni kuwa Elli yuko Tanga na atahakikisha hio BAN anailipia kwa gharama zozote. Nitaongea nae ili na yeye awe miongoni mwetu. Ile ya Aga Khan ilikuwa pouwa sana hasa ule msosi wa mchana. Asnam Elli anakusalimia, eti yuko kifungoni hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo
 
Last edited by a moderator:

iweee, inifwakti ni kawaida yetu sisi wa kamachumuu, lazima tutajetaje mai bilongingz zetu, mtajuwaje kwakweri?
 
sounds like fun.....Ngoja tuone itaendaje ila je wenye kuajiriwa 1week wanaitoa wapi??
 
Yaani BAN tu ndio mikwara yote hii...

Btw twajuaje pengine wewe ni Elli kwa aidii nyingine...

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…