Picnic ya wanajamiforums

brother unapotea sana!!!! hata zile anga zetu huonekani...

Kaka kweli sikuwa kwa hewa sana, tusameheane tu mkuu kuna kipande kilibana lakini namshukuru Mungu kimeisha sasa nipo ndugu yangu!!!!

Mzima lakini kaka na jamaa wengine???!!!!

Tena ntakutumia PM kuna zaga nimelikuta mtaa flani sijawahi kutana nalo asee tubadilishane uzoefu
 
hahaaa
 
mmmhhhh kwa ratiba hio sidhan watu waache mishe zao wakaspend almost week nzima for enjoyment????
 

Binti kula 5!! Umemaliza kila kitu....anajiona kama cleopatra yani
 
wakuu nimerudi
about 40000 ni mchango wa dishes,drinks,
about mabasi volunteer
najua wapo wengi tu
 

Niwie radhi kama nimekukwaza, kuna ID humu naziheshimu na wewe ni mmoja wapo, tuvumiliane pale tunapotofautiana mitazamo.

Ni hayo tu dada langu shemeji.
 
Niwie radhi kama nimekukwaza, kuna ID humu naziheshimu na wewe ni mmoja wapo, tuvumiliane pale tunapotofautiana mitazamo.

Ni hayo tu dada langu shemeji.

Nimeshakusamehe shemeji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…