Picnic ya wanajamiforums


We vipi....kwani yeye hajui kwamba anamilikiwa na wewe? Kama yeye kakubali kukumbatiwa we kisirani cha nini? Kwani amekuwa mbuzi huyo kwamba ameibwa na kashindwa kuresist?
 

Acha weweee....kutoka wengi kuna raha yake
 
Acha weweee....kutoka wengi kuna raha yake

Tunatofautiana misimamo, kutoka ni vizuri kwa watu mnaofahamiana, nimefanya kazi kwenye tourist company kwa muda mrefu najuwa vyema maana ya group na raha zake thats why those back days tukiwa shule Picnic zilikuwa zinabamba sana.

Lakini leo nikitaka mtoko wa group itabidi tuorganise watu tunaojuwana kama watano kama mkiwa na wenza maana yake mpo 10 mnawasha magari mnaenda kujiachia mnapopenda.
 
tutakuja na Id zetu au tuta kausha kimtindo?
 
...kama MSALANI na Ritz watakuwepo asee siji, wataniharibia mudi ya picknic....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…