Pichaz Pichaz Pichaz Pichaz

Pichaz Pichaz Pichaz Pichaz

Na mimi nimo!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1353572632.643587.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1353572632.643587.jpg
    109.4 KB · Views: 60
Nipo Mkuu, mishe mishe tu za kutimiza ilani yangu ya mwaka. Pamoja sana


Pamoja sana mkuu
Kweli aise mwaka unakatika mbaya kabisa hapa
karibu tena mkuu Kivumah
picha zinaeleza mengi sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Inakukumbusha wapi Mkuu, kule Hungumalwa nini!!!., hhaa hhaaa

Wacha mkuu Kivumah enzi hizo bana za ujana unamtafuta mtu ummpendae mnaenda mtoni kuteka maji sijui kuokota kuni na then mkuu mazingira kama hayo unakutana nayo kanga tuu inatandikwa au majani hayo hayo mambo mengine ni historia mkuu Kivumah
 
Last edited by a moderator:
Wacha mkuu Kivumah enzi hizo bana za ujana unamtafuta mtu ummpendae mnaenda mtoni kuteka maji sijui kuokota kuni na then mkuu mazingira kama hayo unakutana nayo kanga tuu inatandikwa au majani hayo hayo mambo mengine ni historia mkuu Kivumah
Mkuu hizo enzi siku hizi sidhani kama bado zipo, na haya mambo ya kunasiana tena.....dah
 
Mkuu hizo enzi siku hizi sidhani kama bado zipo, na haya mambo ya kunasiana tena.....dah
Kivumah zimepotea ndugu yangu kwanza mapori yote na sehem za mabonde wamejaa wawekezaji na hakuna tena mazingira kama haya ambapo unakwenda kusikiliza sauti nzuri za ndege au maji yanavyomwagika kwenye maporomoko
Mito yenyewe imekauka hakuna tena hata yale maporomoko au yakiwepo utakutana na kibao hakuna ruhusa kuingia hapa
Sasa haya wayapate wapi vijana wa leo
Na haya mambo ya facebook, tweeter yameharibu kila kitu wantu wanachat as if wote wako New York na London bana kumbe wako kijijini Hungumalwa kwangu hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom