Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

Wameokoteza vijana huko njiani ili wapige picha. Wala hawana bashasha na kinachoendelea hapo. Na watu wa Moshi hawadanganyiki tena.
 
Nape ameenda kuomboleza kifo cha CCM kaskazini !
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

Kila siku nasema mkiwa waongo mkumbuke kuweka kumbukumbu...hukumbuki nape aliposema hawezi kwenda CHADEMA kwani yeye si mchagga alimaanisha nini?
 
Nilipata kukaa na koo mbili za kichaga nikawaonyesha maneno ya nape aliyoyanena kwa jazba juu ya wachaga na ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Kada mwenzangu habari za siku
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

mwambie Nape Mwandosya na alhaji Abdallah Bulembo
 
Kila siku nasema mkiwa waongo mkumbuke kuweka kumbukumbu...hukumbuki nape aliposema hawezi kwenda CHADEMA kwani yeye si mchagga alimaanisha nini?
ccm wanaugonjwa wa kurithi ktk ujamaa,wanaogopa sana watu wenye akili na kujituma hata km hawajasosoma.wammaogopa siasa za kistaarabu km mwizi na taa.wanapenda singizia wengine wanaposhidwa.walizoea singizia mabepari
Sasa ni chadema.

Sasa wanawachukia wachaga kila kona.hao waliojisahau na kukaa nao mezani wanatumika tuu.nimetembea nchi nzima nimeona chuki kwa wachaga toka makabila mengi sana.wengi hawakuwa wakijua kuwa mimi ni mchaga kwa muonekano na lafudhi huwa hawanitambui.

Wenine wanasema wazi kuwa wanawachukia kwa vile wanafuta hela kwa nguvu mno,wengine oh wameshikilia kila kitu.Na hii ndio tabia ya ccm wasiojua kuwa wakati wachaga wanaanza wanaoneka washamba,wakianza fanikiwa wanaambiwa hawapumziki hata wajipende na mambo mengine km sijui hawajui kuvaa.wakifanikiwa wanaitwa wezi.

Damn ccm lazima walipe madhambi,sasa hivi wachaga wanabaguliwa si tuu kilimanjaro bali hata moshi tena vijijini.Mungu aliwaumba km badgers na zaidi ya nusu hawapo wala sehemu moja ,kila mtu anajituma awezavyo na anafanikiwa kwa style yake ccm wameshindwa waangami.wameuwa viwanda na kujaza watu wasio hata ujua mkoa na kuishia choka tuu.

Wamejenga mji wa wagumu usio na pesawenzao wanazifuta hela zilipo kote duniani..
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

Chris mbona umenipotezea ile thread ya lema niliyokuomba unitumie? kuna attachment imekuja ila sina uhakika kama ndo document au ni kirusi. tafadhali kama kunauwezekano nitumie kwenye private au kama vipi niambie unitumie kwenye email yangu. tafadhali tuma kama email tu na sio kama attachment. asante
 

Moshi wameamua, hali kama hii inabidi Nape na Mwigulu wajiulize kulikoni. Siasa si vitina, vitisho wala ujambazi, bali ustaarabu wa kunadisha sera. Mambo yakiendelea hivi hivi kuna siku watashtukia wako peke yako hakuna hata wa kuwapokelea.
 
Mbona huyu alikuwa kijana lakini naona anazeeka kwa speed, CCM haijampenda nini!
 
Umati wa watu watikisa Arusha wakati nape akiwahutubia...... Chadema wapoteza wanachama nkwa kasi ya ajabu....... Arusha sio ngome tena ya Chadema.... Nape akonga nyoyo za wana Arusha..... Heading nilizotegemea kwenye gazeti la uhuru
 
Kwa style hii hasira za nape kwa watu wa moshi zitakuwa mara mbili zaidi, hili ni funzo nzuri
 
Wameenda njoro kufanya mkutano halafu wanauita "mkutano mkubwa",na ingekuwa pale mashujaa mungeuita kitu gani?

Moshi hakuna chenu wabaguzi wakubwa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…