Picha zote za weekend maeneo tofauti tofauti

Jamani nimeangalia web ile ya Nifahamishe...na nimeperuzi page mbali mbali kuna sehemu...amesema madaraja kumi marefu dunia...Kuna moja kasema linamwaga Maji tani 190 kwa dakika(Wrong)
Kuna jingine kasema lina KM 35,613 Wrong...Haiwezekana rudiasi ya dunia ni Km 18 elfu mzunguko...hii inamaana hilo Daraja lina zunguka dunia mara mbili...?
Tukiwa na web kama hizi harafu wanafunzi wakasoma na kujibu maswali au...kueleza mbele za watu kuwa ni hivyo basi tumekwisha....
Kwa uhakika zaidi unaweza kwenda kwenye linki hii List of longest suspension bridge spans - Wikipedia, the free encyclopedia

Regards
Buswelu


Ndugu yangu buswelu utakuwa unakosea sana kama utakosoa watu bila ya kufanya utafiti au kuangalia vizuri

Kuhusu daraja linalomwaga maji tani 190 kwa dakika ni kweli na kwa ufahamu zaidi jinsi daraja hilo linavyomwaga maji soma kipande hiki

The fountains at the Banpo Bridge were installed on September ninth and have since become a major tourist attraction. It has nearly 10 thousand nozzles ( more exactly 9, 380 ) on either side of the bridge that shoots out 190 tons of water every minute. According to the Seoul mayor, Oh Se-Hoon, the fountain bridge would help acknowledge Seoul as an eco-friendly destination amassing more tourists. But unless the fountain is being used as a means of harnessing energy, the eco-friendliness of this fountain is skeptical.

au gonga hapa kwa full details Latest Seoul Major Tourist Attraction : Banpo Bridge

Kuhusu daraja utakuwa umeangalia vibaya uliposema hizo taarifa si za ukweli angalia daraja hilo kuna KM 35.613 sio KM 35,613 kama ulivyoona wewe

FANYA UTAFITI KABLA YA KUKOSOA

Hilo daraja la Seoul halionekani kama ni suspension bridge, kwa hiyo huenda halipo kwenye hiyo list aliyoleta Buswelu ambayo ni ya suspension bridges tu. Hili linaonekana kama vile ni beam au cantilevel vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom