PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

Status
Not open for further replies.
cna imani na siasa za TANZANIA.Wanasiasa wa Tz wanafiki sana hakuna cha chadema wala ccm,hakuna cha SLAA wala ZITO.Wizi mtupu.
 
.....
images
 
The guy must be fired immediately unless otherwise the deformation so caused w'll be a regret to the party and it will be too late to rectify the situation. " The guy must be fired"
 
wakishafika wote piga picha tuone kwani mi binafsi nimechoshwa na porojo za magazeti. Mara kajaza watu nyomi mara watu wawili!!!!!The ListenerEx Detective
 
sasa akiishafukuzwa atarudi tena kufanya mkutano gani? au ndio atakimbilia mahakamani?
 
kikawaida,uongozi wa vyama vya siasa unatakiwa uakisi jinsi utakavyo ongoza serikali siku moja kama wananchi watatoa ridhaa hiyo.
 
Mtakumbuka Mrema alivuma sana katika siasa za Tanzania. Baada ya watu kumgundua kuwa ni Msaliti ule umati uliokuwa unamfuata uliishia kumtelekeza. Siku hizi Mrema akipanda jukwaani huishia kupata watu kiduchu. Kama siyo CCM kumbeba asingepata hata ubunge wa Vunjo..... Kadhalika Zitto baada ya kugundulika kuwa naye ni Pandikizi la CCM, nampa Zitto miaka 2 tu.. mtajaona, naye ataishia kama Mrema

Embu nione utabiri wako kama uko sawa, Kuwa Zitto Z. Kabwe atakufa kifo cha Kisiasa kama kile kilichomkuta Augustine Lyatonga Mrema wa NCCR-Mageuzi.
  1. 1. Mrema alilelewa na Chama cha Mapinduzi CCM, aliiga style ya CCM na hata mikakati yake ilikuwa ya CCM ilikuwa rahisi kwa CCM kummaliza Zitto hatokei CCM hana background zozote za CCM
  2. 2. Mrema alifanya kazi Serikalini akiwa kama Usalama wa Taifa, Zitto hajawahi fanya kazi za serikali
  3. 3. Augustine Mrema hakuwahi kuwa na ajenda kwa ajili ya kuisikuma nchi alikuwa nasera za kushindia uchaguzi tu Zitto anabeba ajenda za Nchi (sera Ya madini na sheria zake, Sera ya Gas na Energy, Sheria ya uhamishaji pesa, Posho za vikao, siasa ya mabadiriko na kuaminiana n.k) ajenda za kizazi Kipya.
  4. 4. Augustine Mrema alikuwa na malengo ya muda mfupi Zitto ana Malengo ya muda mrefu,
  5. 5. Augutine Mrema umri haukuwa upande wake Umri sio tatizo kwa Zitto, He can wait as much as possible hata mwaka 2025 Zitto atakuwa yuko kwenye umri wa kazi,
  6. 6. Augustine hakuwa na Shule, Zitto Kabwe kagonga shule masters zake mbili ya sheria na Economics zinamfanya ajue nini kinatakiwa wapi na lini na kwa mtindo gani.
  7. 7. Augustine hakuwa na Itikadi Zitto ana Itikadi.
  8. 8. Mrema aliishi kwa Matukio alitumia public sympathy kusukuma ajenda zake kama mikutanoya hadhara nk, Zitto anatumia vyombo vilivyopo kisheria kama Bunge kuseukuma ajenda zake (km ajenda ya Posho, Ukaguzi wa mahesabu ya vyama vya siasa na CAG)
Mwisho Sheikh Yahaya alifariki bila kututajia mrithi wa kazi yake ya Utabiri, ni nani amekupa jukumu hili la kuwa mtabiri Kiongozi wangu???
 
Mtakumbuka Mrema alivuma sana katika siasa za Tanzania. Baada ya watu kumgundua kuwa ni Msaliti ule umati uliokuwa unamfuata uliishia kumtelekeza. Siku hizi Mrema akipanda jukwaani huishia kupata watu kiduchu. Kama siyo CCM kumbeba asingepata hata ubunge wa Vunjo..... Kadhalika Zitto baada ya kugundulika kuwa naye ni Pandikizi la CCM, nampa Zitto miaka 2 tu.. mtajaona, naye ataishia kama Mrema

Mkuu sio Mrema tu kwani hata vyama alivyopo vmwisha, na hili linatuthibitishia hata Chadema nayo kwa muedelezo huu wanabaki stori
 
Tafuta picha yoyote kati ya hizi halafu onyesha mwananchi yeyote mwenye sura ya matumaini na ujio au ziara ya ZZK huko Kigoma The ListenerEx Detective
 
Namuonea huruma Zito Kabwe kwani hajitambui. Mbaya zaidi CCM wanazidi kumuharibia lakini yeye hajitambui. Ni bora kuwa maskini wa mali kuliko kuwa maskini wa maarifa kama Zito Kabwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom