PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

Status
Not open for further replies.
Ukifanya tathimini jinsi gani CDM imeporomoka utaona ni zaidi ya 76% yaani umaarufu wake umeshuka sana!

Hadi April mwakani mgogoro huu ukiendelea basi CDM kitakuwa hoi bin taabani
Wasominwaliwaonya wasifanye maamuzi yasiyosahihi hata kama ni magumu; na wasiona taaluma wakalalama kuwa asulubiwe. Plato akawasikiliza walotakasuluba na akawapuuza wasomi. Sasa ona giza limetanda nchi nzima. Taarifa zimeenea kote na hata plato anaweweseka badala ya kusimama imara. Maamuzi magumu lakini yasiyosahihi kwa mktadha wa cuama yanakigawa chama. Tuwapuuze wapiga debe tufuate ushauri wa kisomi. Tujenge chama cha upinzani mbadala kwa Ccm.
 
Hivi kuwa wa kwanza kujiunga ndo uwe wa kwanza pia kujiengua ee? Zzk jitathimini,matendo yako, ushiriki wako, mikakati yako vyoote vimeshajulikana.
 
mkuu hoja yako ni sahihi, angalia jinsi mgogoro wa zitto na chadema, jinsi zitto anavyojitaidi kuufanya mgogoro huu ni baina ya chadema na wanakigoma, zitto kwa hili hajaonyesha uzalendo kwa chama wala taifa!
Anayekuza mgogoro huu ni mabwana zenu, slaa na mbowe. Wamemfuata hadi kwao wakamtukane, hilo ni sawa kwenu? Wajinga sana nyie
 
CDM kwa Hali iliyopo sasa hakuna daktari ambae anaweza kuokoa maisha ya CDM!

Vurugu, mipasho, kejeli, Mara huyu msaliti, chuki kwa kwenda Mbele! Yaani kila mmoja na lake!
 
Tumechoka na wewe ZZK. Hata -------- akikaa kimya huonekana mwenye busara (quotes female the bible).
 
Ukifanya tathimini jinsi gani CDM imeporomoka utaona ni zaidi ya 76% yaani umaarufu wake umeshuka sana!

Hadi April mwakani mgogoro huu ukiendelea basi CDM kitakuwa hoi bin taabani

Habariyamjini mimi siitaki, watu wa aina yako hawana kazi, muda mwingi hukaa vibarazani kueneza umbeya tuuuu. Eti CHADEMA imeporomoka 76%! Wewe mtafiti? Kama data hizo si umbeya wa vibarazani ni nini?
 
Anayekuza mgogoro huu ni mabwana zenu, slaa na mbowe. Wamemfuata hadi kwao wakamtukane, hilo ni sawa kwenu? Wajinga sana nyie

Mkuu ifweero salam,

CDM ni donda ndugu hata ukiwaambia ukweli utaambiwa wee ni msaliti na mtumia tumbo! Hawajuwi nani adui Yao na ipo siku wakijua adui Yao watakuwa wameshasambaratika kabisa!

Wanapigana na ZZK kumbe kikulacho ki nguoni mwako!
 
Hata ujitetee vipi zzk unacho mwaka huu biblia inasema waheshimu wenye mamlaka hata kama wanakunyanyasa naye atakusimamia wewe kwa jeuri yako unawajibu jeuri haya mwisho wako uta usababisha mwenyewe.
 
chama cha democrasia na maendeleo...
uhuru wa kuongea,kutoa hoja na kusikilizwa...
teh teh teh teh...
watu wanafukuzana juu kwa juu,hakuna kusikilizwa.
boss akilala na kuamka,OUT.kama kampuni ya KANJUBAI
 
Habariyamjini mimi siitaki, watu wa aina yako hawana kazi, muda mwingi hukaa vibarazani kueneza umbeya tuuuu. Eti CHADEMA imeporomoka 76%! Wewe mtafiti? Kama data hizo si umbeya wa vibarazani ni nini?

Hata usipotaka lakini ukweli unajulikana na unaujua! Nashukuru mkuu umesoma comment yangu! Hata mkuu ifweero anaujua ukweli huo!

Chama chenu mkuu kimekosa dira hakuna wa kusililizwa kila mtu ni general! Tatizo lenu kubwa CDM hamtaki kuambiwa ukweli na ukiambiwa tu basi msaliti na mtumia tumbo!

Hiyo ndio tofauti kubwa Kati ya chama dume CCM na CDM!
 
Dr. slaa ashauriwe aache kuropoka na kutoa maamuzi kwenye majukwaa, asububili maamuzi yatolewe kwenye vikao.
 
Kwa hili linaendelea kudhihirisha kuwa there is no true democrasy ndani ya chadema, haw wachache wanaendelea kukitumia chama kwa maskahi yao binafsi, kama zzk kakosea basi iwe proven na apewe nafasi ya kujitetea na endapo utetezi wake usipokuwa wa kweli basi ndipo awajibishwe.
Huwa najiuliza sana maswali kuwa kama kweli cdm ni chama cha democrasia, kw nini wameahirisha uchaguzi mkuu wa chama? Au vigogo wa cdm wanaogopa kupoteza nafasi zao jambo ambalo pengine likawapotezea/likawavulia umaarufu kuelekea 2014? Kama sivyo ni kwa nini basi uchaguzi ukaahirishwa, huko sii kung'ang'ania madaraka? Ni bora mkutano mkuu wa cdn ukaitishwa kusudi wanachama wapewe fursa ya kutia maoni yao kuliko maamuzi yabaki kuwa centralized kwa wachache
 
Hata ujitetee vipi zzk unacho mwaka huu biblia inasema waheshimu wenye mamlaka hata kama wanakunyanyasa naye atakusimamia wewe kwa jeuri yako unawajibu jeuri haya mwisho wako uta usababisha mwenyewe.

Sasa kwa ZZK ni point of no ruturn! Wamemwaga unga yeye anamwaga mboga! Wakose wote!

Dr Slaa alienda KGM kuudhirishia umma kuwa ZZK si zaidi ya CDM lakini ZZK alipoenda KGM umma wote umejua kuwa ZZK ni zaidi ya chama! Hiyo ni piga nikupige!
 
Dr. slaa ashauriwe aache kuropoka na kutoa maamuzi kwenye majukwaa, asububili maamuzi yatolewe kwenye vikao.

Hiyo ndio tofauti kubwa Kati ya CCM na CDM, yaani kwa CDM kila mtu anaropoka hadharani hakuna kusubiri vikao wala nini! Chama hakiendeshwi kwa jazba na mipasho ya majukwaani Bali kinaendeshwa kwa fikra pevu na tafakuli kubwa!

CDM wao hawana forums za kumzungumzia mambo Yao popote kiongozi anaropoka! Piganeni tuone mwisho wake!
 
Hata usipotaka lakini ukweli unajulikana na unaujua! Nashukuru mkuu umesoma comment yangu! Hata mkuu ifweero anaujua ukweli huo!

Chama chenu mkuu kimekosa dira hakuna wa kusililizwa kila mtu ni general! Tatizo lenu kubwa CDM hamtaki kuambiwa ukweli na ukiambiwa tu basi msaliti na mtumia tumbo!

Hiyo ndio tofauti kubwa Kati ya chama dume CCM na CDM!

Hujanitendea haki kunipa chama bila kuniuliza mimi ni chama gani. Hata hivyo umenipa faida ya kujua uwezo wako wa kufikiri, unadhani kusoma comment yako ni kitu cha maana sana na kwamba kila anayepinga ujinga unaofanywa na wanasiasa wachumia tumbo bila kulitakia mema taifa hili basi huyo ni CHADEMA! Mkuu, Jaribu kufikiri zaidi kwasababu taifa linaangamia kwasababu ya kushabikia ujinga wa watu kama anayefikiri kuchukua kadi mapema basi ana hati miliki ya chama! Kunielewa ninachosema, jaribu kufuatilia historia za mataifa yenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mateso unayoyapata kutokana uccm, ni makubwa. Sina hakika unapata faida gani kwa mateso hayo. Je, mwisho na hilo lichama unaujua? Usiwe kama aliyejinyonga eti kwasababu Arsenal imefungwa!
 
Hata CDM ikifa leo lakini chachu ya mabadiliko imepandwa yawezekana CCM ikawa sio chama Tawala tena. Tumeshajua mbinu zao zoote. ZITO usihangaike na CDM tafuta chama kingine uende huku CDM malengo yako hayatimizwi leo wala kesho unless uwe unataka kuvuruga tu. Anzaiha chama kaka MSAJILI ameridhia udini, ukabila na ukadna ambao ni disqulaification ya chama chochote cha siasa umee CDM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom