Kweli siyo bongo,waangalie watu wenyewe rangi zao!!Halafu hii siyo Tanzania
Wabongo kwa kuunganisha matukio nawapa tuzo.
Kwakweli jeuri hana patakuwa flat sasa kama sakafu!!Kwishaa Jeuri yakeee
Acha uongo bofya hapa: Hashtag #زؤب sur TwitterDunia imegeuka sana kwa kweli na wanawake wamekuwa katili sana kiasi kwamba hata kwenye familia imekuwa ngumu kuwaamini wanawake kwa sasa!
Nimekutana na picha kwenye mitandao zinaonyesha mwanaume aliyekatwa uume wake na kisha kupikiwa kwenye tambi!
Sijajua exactly hilo tukio limetokea wapi lakini kwa tetesi ni Tanga, wenye taarifa zaidi wanaweza kutujuza..
Kwa kweli aliyesema wanawake tunatakiwa kuishi nao kwa maarifa na akili hakukosea,
Ambao hawajao nawashauri wasiingie kwenye ndoa kichwa kichwa, wala kuanzisha mahusiano pasipo kuchukua tahadhari, kubwa zaidi ni kumuomba Mungu kabla ya kufanya maamuzi!
Picha ni za kuogofya!
...
Uongo uko wapi? Hapo ulipohighlight pameandikwa tetesi..!Acha uongo bofya hapa: Hashtag #زؤب sur Twitter
Afadhali... maana huchelewi kughairi uchapishaji wa waraka pendwastaki hata kupandisha juu nione kuna nin acha niishie kwenye comment yako
kila nlikua nkisoma heading ya new posts nairuka kabisa stak hata kujua kuna nn nsje kupata msongo wa mawazoAfadhali... maana huchelewi kughairi uchapishaji wa waraka pendwa
halafu dudu hata lipikwe kwa gesi haliivi
DuuuuuuuMpaka nimesisimka nawaza jinsi uyo mama alivyomtaim mumewe adi kufanikisha tukio sipati jibu sio kuwa walikubaliana ili kutimiza masharti