Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu

Watu ni intelligent

Hali ya watu kuwa intelligent ni intelligence.

"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligent tu" ni sawa.

"Picha zifuatazo ni kwa watu wenye intelligence tu" ni sawa.

"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu" si sawa.

Lugha za watu hizi jamani.
Kiranga nakuaminia hujawahi kuzamisha jahazi katika ulimi wa Malkia... kwa Mungu Muumba tu ndo unazingua!!!

Halafu nikupe nyongeza tu... Jina lako "KIRANGA" kwa kabila la kwetu ni KIHEREHERE
 
Unaweza kuita kiherehere, pia inaweza kuwa mtu aliye nstari wa mbele kuonesha njia.

Trailblazer.

Hakuna maendeleo bila kiherehere.
 
Watu ni intelligent

Hali ya watu kuwa intelligent ni intelligence.

"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligent tu" ni sawa.

"Picha zifuatazo ni kwa watu wenye intelligence tu" ni sawa.

"Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu" si sawa.

Lugha za watu hizi jamani.
Lengo nikujifunza sasa wewe endeleza chuki zako za ccpinduzi kama utafika
 
Kwani hapo nilipoandika hujajifunza Kiingereza pia?

Nategemea mtu anayetuletea uzi wa intelligence ajue tofauti ya intelligent na intelligence.

Siyo ku copy paste tu picha.
 
No. 12 akili zinasulubisha hisia?
Hii hufanywa na wale wanaitwa wababe, wagumu asilia.Watu wenye misimamo yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom