security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
KINANA,NAPE,KHATIB WATUA MTWARA..kazi ya kusimamia ilani ya uchaguzi yapamba moto.
Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika
Labda wanakwenda kuismalisha stronghold yao!kazi kweli kweli!Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika
Title na content mbona haviendani? yafana????
Kwa hiyo said Nkumba na CCM yake wanaweza kuliachia jimbo la sikonge 2015 ?Naona CDM wameanza kwa kazi kwa kushinda ilie kata moja katika jimbo la sikonge!Huku SIKONGE hatuwataki. Labda waende Urambo na Kaliua kwa Sitta na Lipumba.
Wasipotoa hizo kofia,tishei na kofia nani atawapigia kura?Kwanini hizi pesa za kofia na tisheti msingeziongeza kidogo mkawachimbia kisima cha maji japo cha mita tatu?
Kuamka ndio kushabikia CDM? Haya hao wa arusha na moshi wameamka kwenye nini?mtwara bado hawajaamuka.
Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika
Elimu ya UraiaKuamka ndio kushabikia CDM? Haya hao wa arusha na moshi wameamka kwenye nini?