Afu nimeshangaa kumbe kuna wendawazimu wanavaa nguo na viatu.....inataka moyo wa kiuendawazimu kuishabikia CCM siku hizi!
Ukiwa CCM hata kama una 50+ wewe bado ni kijana.....Mboan umesema vijana wakati kuna wazee pia.
Hii ingepelekwa kule MMU ningefunguka vizuri. sasa kwenye hili jukwaa mods wamekaa attention yaani basi tu!Baba Lulu yeye na mapaja ya kinadada tu!!....
![]()
Hii ndege iko sawasawa kweli?
![]()
udikteta huu sasa...![]()
Mi nimeipenda hii, dah! jamaa anapigiwa saluti!!!!!!!!!!! ama kweli ubosi nouma.
udikteta huu sasa...
Inaonekana kama haina seat belts!!
Baba Lulu yeye na mapaja ya kinadada tu!!....
![]()
hivi hawa ni wahaya ninaowafahamu?
kwa hiyo hapo kwenye gwaride wapo kina rutashobya,kaitaba,kajumulo,bashaija,kaishozi na kagasheki?
Nimeona jeshi la GREEN GUARD likipiga saluti.
Hii ndege iko sawasawa kweli?
![]()