Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

wariobabc.jpg

200px-Miss_Tanzania_07_Richa_Maria_Adhia.jpg

richaadhia1.jpg

RichaAdhia-MissTanzania%5B2%5D.jpg

indiatanzania.JPG
 
Nani kasema huyu binti wa Temu aka HOYCE yuko makini na maisha yake>> kaolewa na kibabu kina mke South Africa na kwao Zambia na yeye ni mke wa kadhaa>>>angekuwa makini angeolewa na mtu ambaye yuko single sio kuwekwa kimada kwa gia ya "ndoa" uchwara
 
Bila kificho mabinti wawili tu ndiyo naoana wako well behaved, Miriam Odemba ambaye alipata taji kubwa kuliko hata la miss Tanzania, remember. Na Happyness Magese tuuuuu. Hao wengine wote kitendawili, tega..... mwanangu mwana siti kijino kama chikichi!!!!
 
Unampangia maisha sasa au?
 
Wema sepetu ni kielelezo cha hiyo tija kwa taifa!ama kweli ukistaajabu ya musa..........!

1 over 17 = 6%. Tumsamehe dada yetu, anawakilisha asilimia 6 tu ya warembo wote waliowahi kupita huko nyuma! Very good kutunza records kama hizi!
 
attachment.php
Wenye kukumbuka majina yao anaweza kusaidia kuyaweka hapa...
 
Attachments

  • miss tz.jpg
    miss tz.jpg
    70.5 KB · Views: 3,667
Bila kificho mabinti wawili tu ndiyo naoana wako well behaved, Miriam Odemba ambaye alipata taji kubwa kuliko hata la miss Tanzania, remember. Na Happyness Magese tuuuuu. Hao wengine wote kitendawili, tega..... mwanangu mwana siti kijino kama chikichi!!!!

Kama ni huyu Miriam Odemba ninayemfahamu basi naomba hapo uweke mmoja tu. Labda Magese, Odemba ni disgrace for Tanzania. Kama hii ingekuwa ni forum ya udaku basi mambo yake yangemwagwa hapa.
 
hii thread unaweza kuweka picha za mademu wowote tu nini?? ngoja nitafute na mimi lol!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom