Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Kama ni huyu Miriam Odemba ninayemfahamu basi naomba hapo uweke mmoja tu. Labda Magese, Odemba ni disgrace for Tanzania. Kama hii ingekuwa ni forum ya udaku basi mambo yake yangemwagwa hapa.

Kwa nini Ni Disgrace for Tanzania. Kama kuna facts then si udaku. Nia ni kujifunza kutoka kwa Mamiss wetu.
 
hii thread unaweza kuweka picha za mademu wowote tu nini?? ngoja nitafute na mimi lol!!!

Washindi wa Umiss tu. i.e. Miss Tanzania, wawakilishi of Face of Africa; Miss Utalii, Miss Bantu nk. Washindi wa kanda au Mikoani pia Ruksa!
 
HIVI miss mmoja somebody stella tingisha yuko wapi?

michuz_009%20copy.jpg

kabla ya miss tz hii ya miaka hii, kulikuwepo na mashindano ya ulimbwende hasa yaliyohusu mavazi na mitindo kama vile farida fashion, miss mirinda na kadhalika. baadhi ya kinadada waliokuwa wakitamba sana ni hawa. kuna mdau alitaka kumuona stella tingisha ambaye ni huyo kulia.

source: http://issamichuzi.blogspot.com/2006/06/kabla-ya-miss-tz.html
 
huyo wa kushoto ni issabela kafumba,ambaye nadhani amewahi kuwa miss mirinda,hivi sasa na mkazi wa england
 
Sijakuelewa kiongozi! I am more than serious ni rafiki wa sister wangu!

Kamanda, its just a light Joke.

Kama ni huyo ninayedhani amewahi kufanya kazi SUKITA miaka ya 1994/95 inaweza kuwa rahisi kmuatfuta kupitia Ex-Employees wa SUKITA
 
Kamanda, its just a light Joke.

Kama ni huyo ninayedhani amewahi kufanya kazi SUKITA miaka ya 1994/95 inaweza kuwa rahisi kmuatfuta kupitia Ex-Employees wa SUKITA

Haya bazee, its a light joke! wengine tupo seriazi bana....! hujui tunataka kumbushia nini....
 
Kamanda, its just a light Joke.

Kama ni huyo ninayedhani amewahi kufanya kazi SUKITA miaka ya 1994/95 inaweza kuwa rahisi kmuatfuta kupitia Ex-Employees wa SUKITA
yes she is an ex sukita employee. MASA,nikimwambia masa wa JF hawezi elewa cause JF sio anga zake na incase you have any peculiar designs she is married to salva rweymamu,spin docter wa kikwete
 
yes she is an ex sukita employee. MASA,nikimwambia masa wa JF hawezi elewa cause JF sio anga zake na incase you have any peculiar designs she is married to salva rweymamu,spin docter wa kikwete

I am out mazee, was trying to pull your leg.....imekula kwangu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom