Hatimaye mzee wetu Wasira ameibuka tena kutaka kukomboa jimbo la bunda lililo chukuliwa na mwana dada Bulaya.
Wakati akiwa ndani ya bunge mzee wetu Wasira akiwa waziri alitumia muda mwingi akiwa anatafakali mwenendo wa bunge kwa njia ya kuupiga usingizi.
Kama alikuwa hivi miaka zaidi ya 5 iliyopita, itakuwaje kipindi hiki akiingia bungeni? Si ndiyo atakuwa anakoroma kabisa na kuwa na ndoto za wajukuu wake huko Bunda?
Je, watu kama hawa bado tuna haja ya kuwachagua kutuwakilisha bungeni?
View attachment 1508181