Picha za wanaosinzia Bungeni

Picha za wanaosinzia Bungeni

attachment.php


hii lini tena.?duh

Duh usingizi kidume kweli. Adui yako usimwombee njaa muombe tu usingizi tena asinzie hadharani basi!!
 
attachment.php


:faint:Jamii forums kuna mbambo, maana hii taswira inaeleza mengi zaidi kuliko za waandamizi wake wasinziaji. :faint:


Sasa kama Rais analala kwenye hafla ya kiserikali tusiwashutumu wasaidizi wake wanaopiga usingizi kazini...
 
<b><font size="3"><font color="#a52a2a">Sasa kama Rais analala kwenye hafla ya kiserikali tusiwashutumu wasaidizi wake wanaopiga usingizi kazini...</font></font></b>
<br />
<br />
shame upon them...
 
dah kaaazi kwelikweli japo anauchapa lakini jioni anakinga sawa na waliokuwa wakijikakamua kuperuzi makabrasha na kuyadadavua kwa maslahi ya wadanganyika
 
kuhusu utaratibu. Mweshimiwaaa eee... Aaa anyway of koz sawa kabsa. Teh teh
 
Nashangaa wengi wanatoka chama hicho hicho,wameshachoka kazi au wanafanya ubunge kwa mazoea.
 
Jamii forum NI NOMA, NAWAPONGEZA WOTE!
 
Halafu wote ni kutoka CCM, ila sijamuona Chibulunje naye majuzi aliangusha gari
 
Masikini hawa jamaa wamechoka kwelikweli. Kafulila aliwashauri watoke washachoka but kumuelewa ndo ngumu!
 
Back
Top Bottom