PICHA za uzinduzi wa Airtel JK ndani........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA za uzinduzi wa Airtel JK ndani........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Nov 23, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   

  Attached Files:

  • 2.jpg
   2.jpg
   File size:
   70.4 KB
   Views:
   459
  • 32.jpg
   32.jpg
   File size:
   134 KB
   Views:
   480
  • 36.jpg
   36.jpg
   File size:
   79.3 KB
   Views:
   451
  • 48.jpg
   48.jpg
   File size:
   49.5 KB
   Views:
   459
  • 29.jpg
   29.jpg
   File size:
   65 KB
   Views:
   459
  • 24.jpg
   24.jpg
   File size:
   157 KB
   Views:
   86
  • 9.jpg
   9.jpg
   File size:
   111.1 KB
   Views:
   473
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Huyu Mkwere ameanza kwa kwenda ngomani? B.S, anacha kutengeneza baraza la mawaziri anakwenda kwenye muziki?
  Kweli waliomchagua ni sawa na yeye tu.
   
 3. s

  seniorita JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I am sure JK is a shareholder too; I will not be surprised
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mhh Ruge Mutahaba ndani ya Nyumba, kazi ipo:embarrassed::embarrassed:
   
 5. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  huyo msanii gani kafumba macho
   
 6. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hivi jamani naomba kuabarishwa...mara ya mwisho habari niliyoisikia kutoka kwa matamko ya viongozi wetu kuhusu kuuzwa kwa ZAIN ni kwamba kulikuwa na ukiukwaji haki ya serikali kama mmoja wa wabia wakuu. Je suala hili limieishia wapi?
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu hivi Ruge ndo yupi kwenye hizo picha? Mimi simjui ati!!!!
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Huyo mhindi aliyemkumbatia huyo dada ni mkewe au makuzi tuu!!
   
 9. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Angalia picha ya tatu kutoka juu, huyo wa kushoto, mweusi aliyevaa koti
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Bwana wee, i`m suprised too. sitashangaa nikiambiwa ni ndugu yake Rostam, mchakachuaji
   
 11. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
   
 12. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyo ni Ali Kiba mkuu
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,096
  Likes Received: 4,044
  Trophy Points: 280
  cha ajabu huyo dada anaonekana ana mimba hilo valangati lake na mwenye hiyo mimba sijui....
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ali Kiba anaona aibu kuwa na JK........
   
 15. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  kweeeeli Great Thinkers,mh tutafika
   
 16. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Airtel ni k2 gan? Nipen habar kamili!

  Au ndo kampun za kifisadi za kikwete na Rostam!
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mungu wangu Ruge naye yupo, poleni wasanii waTZ, JK kakamamatwa naye , na sasa Ruge ana haki ya kusema yeye ndio kachangia kumweka JK madarakani, maana Chegge , Temba, Diamond na wasanii kibao yeye ndio kajitolea ile fiesta ya kampeni na zile sms , sasa hapo miaka mitano ya uchungu,unyonywaji na mateso kwa wasanii wa Tanzania , inavyo onekana JK hata mwacha kakumpa shukurani. Kazi ipo wasanii.

  Nawashauri wasanii, tuhakikishe Raisi anaye kuja baada ya miaka mitano kuwepo na msisitizo wa kumjulisha matatizo na hatari ya watu kama kina Ruge ,zifanyike jitihada mapema ili kuweza kumdhibiti, maana hawa wazee kama kina JK sio rahisi kumjua vizuri wao wataona kuwa Kijana anafanya kazi nzuri ya kukuza vipaji (THT) na mengine wakati ukweli halisi haujui.
   
 18. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Yes, Airtel Tanzania is 40% own by Government of Tanzania and 60% owned by Bharti Airtel
   
 19. D

  Discoverer Member

  #19
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .........nec..........
   
 20. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Picha ya mwisho ni R.P na nani?
   
Loading...