PICHA za uzinduzi wa Airtel JK ndani........

Huyu jamaa yaani kweli sie twasubiri baraza la mawaziri yeye kaenda kujirusha huko, kampuni yenyewe full utata!!! wameiua TTCL na sasa jamaa ndo aanasherehekea hapa, tumueleweje sasa? so confusing!!! jamani si awepo mtu mtu hata wa kumshauri kidogo!!! anatia nanihiii
 
Picha ya mwisho ni R.P na nani?
attachment.php


Ni Madame Ritha mke wa Zamani wa Mengi akiwa na Msanja mkandamizaji "wakikandamiza" kiaina
 
Back
Top Bottom