Hii unaiita kumchafua!!??
View attachment 76226
Story ya kutengeneza tu hii, ipo kwenye gazeti flani. kama kawa washalamba mpunga wao!
u mean photo shop ndo imefanya kazi,IMETENGENEZWA KIVIP?
watakuwa walikuwa wanataniana kwi kwi kwi. I can do that with you unajua?
mwenyewe si alikwenda kuwinda?
So kapata
Kumchafua tu. Hamna lolote hapo!