Picha za Shilole akiwa "CHOBINGO" na Mwimbaji wa Koffi Olomide

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=3][/h]










Shilole akiwa na msanii wa Koffi.
Tukio hilo lilitokea ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, ambapo Shilole alienda kwa ajili ya kushuhudia shoo ya mwanamuziki huyo.
Akiwa ndani ya viwanja hivyo, Shilole alijikuta akishobokewa na mmoja wa wanamuziki wa Koffi ambaye jina lake halikupatikana mara moja ambapo kuna muda wawili hao walikutwa nyuma ya jukwaa jamaa ‘akiimbisha’.

SHILOLENAMWANAMUZIKIWAKOFFI3.jpg

Haikuweza kufahamika mara moja kama Shilole alimkubalia mshikaji huyo lakini wadakuzi wanadai baada ya shoo kumalizika, mwanamuziki huyo alimfuta tena Shilole na kuongozana naye hadi kwenye gari alilokwenda nalo pale ukumbini.
SHILOLENAMWANAMUZIKIWAKOFFI4.jpg
 
u mean photo shop ndo imefanya kazi,IMETENGENEZWA KIVIP?

Well,,mkuu maana yangu ni kwamba walipanga kila kitu na wahusika na (shilole) alijua itatoka kwenye gazeti. Ni ktk harakati za waandishi kutengeneza story. So wamepatana kabisa na malipo ukute mtu kakunja!
 
Nooo niliwasikia! Huyu jamaa alikuwa anamuomba afanye sampling ya kale kawimbo ka shiloleshilole au wafanye collabo,kwi kwi kwe kwekwekwe
 
Naona ana kikuku mguu wa kushoto! Kule kwetu binti akivaa hivyo mguuni yale mambo yetu huulizi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom