Nadhani humo kwenye hizo RED ungetumia neno Memory ingekaa vizuri zaidi.Mzee mkapa si ajabu ana umwa ugonjwa wa kukosa remember. Tumuombee remember irudi aache kutumiwa na magamba
Kwa wote wanaoshabikia hili suala, wamekuwa hawana point muhimu zinazowafanya kumlaumu BWM. Mimi binafsi ktk ukoo wetu wengi wananijua lakini mimi siwafahamu hii inatokana na umaarufu wangu hivyo hakuna cha ajabu hapo.
Ukishakuwa mtoto wa Kiboko Nyerere ndio ushakuwa mtoto wa Juliasi?
Hao watoto wanaoijidai wa Nyerere wangejuwa Juliasi alivyoigaragaza hii nchi wangeona haya hata kutumia hilo jina? kwanza huyo Juliasi ndio alituingiza kwenye matatizo, hakutufaa kwa lolote na hao wanawe wa kuwazaa mwenyewe hawafai kabisa, hata senti tano. Baba yao aliiletea faida ipi hii nchi badala ya hasara tu?
Mzee mkapa si ajabu ana umwa ugonjwa wa kukosa remember. Tumuombee remember irudi aache kutumiwa na magamba
View attachment 50319
Kama hutaweza kuona vizuri picha hizi ni kwamba zimepigwa mara mbili. Moja ni Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Josephat Kiboko Nyerere, huku pembeni yake akiwepo Anne Mkapa, Maria Nyerere na Chief Japhet Wanzagi.
Nyuma ya Mkapa ni Vincent Nyerere huyu mbunge wa CHADEMA lakini wakati huo yaani December 19, 2007 hajawa mbunge. Utaona picha ya Vincent imezungushiwa duara ili kumuonyesha vizuri.
Hapo ni nyumbani kwa marehemu yaani kwao na Vincent Nyerere.
Picha ya chini ni kwenye misa ya mazishi katika Kanisa Katoliki, parokia ya Butiama. Mnamuona Benjamin Mkapa amekaa kiti cha mbele kanisani akiwa ameshika kitabu akifuatilia misa. Hapa vilevile nyuma ya Mkapa ni Vincent Nyerere.
Kazi kwenu wana JF, the place we dare talk, the place we dare expose the unexposed!
Source:
JAMHURI,
ISSN-1821-8156, No. 17
March 27, 2012
Kama BWM ni maarufu, aliendaje kwenye msiba wa marehemu asiyemfahamu wala asiyekuwa maarufu. Acha akili za kuku za kutokuwa na kumbukumbu.
Tuko pamoja papaa LikwandaKwa wote wanaoshabikia hili suala, wamekuwa hawana point muhimu zinazowafanya kumlaumu BWM. Mimi binafsi ktk ukoo wetu wengi wananijua lakini mimi siwafahamu hii inatokana na umaarufu wangu hivyo hakuna cha ajabu hapo.
hapo point iko wapi ?? mkuu naona kama unajikanyaga tu hapa issue si akili Jaribu kuzingatia madaNyie huyu mzee Kiboko ambae mnasema eti ni baba yake na Vicent hamumjui. Huyu mzee alikuwa na upungufu wa akili na mara nyingi alikuwa anakuja mwanza mtaa wa Uhuru kwa familia ya mzee Hazaa. Fuatilieni habari zake kwenye ukoo huu mtaambiwa
Sitaki kurumbana nawe maana unaonekana kutetea mtu mwenye kujulikana dhahiri alitenda kosaMie sipo hapa kwa ajili ya kumtetea mtu bali ni namna tu ya kuwekana sawa ktk mambo ya msingi; basi nawe hebu nukuu ile kauli aloitoa Mkapa na uieke hapa ili isije kuwa hatujui tukiwekacho sawa hapa"
View attachment 50319
Kama hutaweza kuona vizuri picha hizi ni kwamba zimepigwa mara mbili. Moja ni Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Josephat Kiboko Nyerere, huku pembeni yake akiwepo Anne Mkapa, Maria Nyerere na Chief Japhet Wanzagi.
Nyuma ya Mkapa ni Vincent Nyerere huyu mbunge wa CHADEMA lakini wakati huo yaani December 19, 2007 hajawa mbunge. Utaona picha ya Vincent imezungushiwa duara ili kumuonyesha vizuri.
Hapo ni nyumbani kwa marehemu yaani kwao na Vincent Nyerere.
Picha ya chini ni kwenye misa ya mazishi katika Kanisa Katoliki, parokia ya Butiama. Mnamuona Benjamin Mkapa amekaa kiti cha mbele kanisani akiwa ameshika kitabu akifuatilia misa. Hapa vilevile nyuma ya Mkapa ni Vincent Nyerere.
Kazi kwenu wana JF, the place we dare talk, the place we dare expose the unexposed!
Source:
JAMHURI,
ISSN-1821-8156, No. 17
March 27, 2012
Nadhani humo kwenye hizo RED ungetumia neno Memory ingekaa vizuri zaidi.