Picha za Mkapa na Vincent wakiwa kwenye msiba wa baba-Vincent yaani Kiboko Nyerere

kama huna cha kuandika kaa chini usome vya wenzio,si lazima ukiingia hapa uandike tu hasa kama hujui impakt ya madudu aliyoyafanya mkapa
 
Kwa wote wanaoshabikia hili suala, wamekuwa hawana point muhimu zinazowafanya kumlaumu BWM. Mimi binafsi ktk ukoo wetu wengi wananijua lakini mimi siwafahamu hii inatokana na umaarufu wangu hivyo hakuna cha ajabu hapo.[
wewe ni MBUMBUMBU.
 
Kwa wote wanaoshabikia hili suala, wamekuwa hawana point muhimu zinazowafanya kumlaumu BWM. Mimi binafsi ktk ukoo wetu wengi wananijua lakini mimi siwafahamu hii inatokana na umaarufu wangu hivyo hakuna cha ajabu hapo.

WW ni MBUMBUMBU.
 
Kwa wote wanaoshabikia hili suala, wamekuwa hawana point muhimu zinazowafanya kumlaumu BWM. Mimi binafsi ktk ukoo wetu wengi wananijua lakini mimi siwafahamu hii inatokana na umaarufu wangu hivyo hakuna cha ajabu hapo.

hii kali..we ni maarufu kwenye ukoo wenu.!
 
Mkapa yuko sahihi,tatizo lipo kwenu,mkapa kasema Vicent si familia ya Mwalimu Nyerere,nyie mnakuja na uthibitisho wa ukoo nendeni mkajifunze tofauti ya Familia na Ukoo ili muelewe,Nyie mkapa sio saiz yenu akili zenu zinafanana sana na Jk ndo mana mnaelewana hata Ikulu mnajongea!
 
Ushauri wa bure kwa Mzee Nkapa ni kuwa kwa sasa ni vema aachane na siasa za vyama abaki kama rais mstaafu ambaye alikuwa kiongozi wa watanzania wote. Siasa za vyama kwa nafasi aliyonayo kama mstaafu inaweza kuja kumgharimu, likitokea kama la senegal.
 
Huo msiba mwaka gani? Ungekuwa wewe ungemkumbuka mtu huyo uliyemuona miaka 15 iliyopita?

Dah... Unaelewa kinachoendelea kweli Mkuu? Kweli ujinga ni sawa na ukimwi, ukiupata ujue maisha yako kwishney!
 
Kuna maswala ya msingi ya kuandika. Hilo gazeti nalo wamekosa la kuandika.
 
Huo msiba mwaka gani? Ungekuwa wewe ungemkumbuka mtu huyo uliyemuona miaka 15 iliyopita?

Kulikuwa na haja gani ya yeye kuongelea vitu vinavyohusiana na nyumba za watu?
Wananchi walitaka kusikia watapataje ardhi,maji,barabara,elimu bora,ajira kwa vijana na sio kuattack mtu wa upinzani!!
 
attachment.php
 
View attachment 50319

Kama hutaweza kuona vizuri picha hizi ni kwamba zimepigwa mara mbili. Moja ni Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Josephat Kiboko Nyerere, huku pembeni yake akiwepo Anne Mkapa, Maria Nyerere na Chief Japhet Wanzagi.

Nyuma ya Mkapa ni Vincent Nyerere huyu mbunge wa CHADEMA lakini wakati huo yaani December 19, 2007 hajawa mbunge. Utaona picha ya Vincent imezungushiwa duara ili kumuonyesha vizuri.

Hapo ni nyumbani kwa marehemu yaani kwao na Vincent Nyerere.


Picha ya chini ni kwenye misa ya mazishi katika Kanisa Katoliki, parokia ya Butiama. Mnamuona Benjamin Mkapa amekaa kiti cha mbele kanisani akiwa ameshika kitabu akifuatilia misa. Hapa vilevile nyuma ya Mkapa ni Vincent Nyerere.

Kazi kwenu wana JF, the place we dare talk, the place we dare expose the unexposed!

Source:
JAMHURI,
ISSN-1821-8156, No. 17
March 27, 2012

Mkuu hili gazeti linaitwa Jamhuri?
 
Nilisema na nitarudia tena kusema Balile na Boss wake [Mmiliki wa gazeti la Jamhuri] wako kazini wakiwa na agenda ya 2012 ndani ya CCM na 2015 kwa ajili ya kuingia Magogoni. Hii habari haitaisha labda Mkapa aamue kwenda Mahakamani kuomba magazeti yasiendelee kuiandika, vinginevyo kuna mtu anataendelea kutumia habari hii kama mtaji.

Manyerere Jacton ni kaka yake Vincent Nyerere pia yuko gazeti la Jamhuri madongo kwa Mkapa yataendelea kawachokoza wana wa Nyerere mzee wa watu lakini kakubali yaishe
 
Back
Top Bottom