Picha za mazingira yetu mazuri

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,723
10,231
1702356430944.jpg

Picha imepigwa kutoka upande wa Lake Tanganyika Hotel nyakati za jioni kabisa jua likielekea kuzama, mandhari nzuri kabisa ya muonekano wa ziwa Tanganyika hakika Kigoma kunapendeza sana by Kigoma Region Tanzania
 
Back
Top Bottom