Historia nyingine kuandikwa na Awamu ya Sita. Mradi mkubwa wa kutoa maji Ziwa Tanganyika kufikia mikoa 6

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,780
Kilio cha muda mrefu cha shida ya maji kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Magharibi mwa nchi kinaenda kufutwa rasmi.

Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais wa vitendo zaidi maneno machache Dr. Samia iko mbioni kuanza ujenzi mkubwa wa mradi wa maji wa Ziwa Tanganyika.

Kwa mujibu wa Meneja wa Ruwasa Rukwa, ujenzi wa mradi huo utaanza mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo mikoa 6 ya Rukwa, Katavi, Songwe, Tabora, Mbeya na Kigoma itanufaika kwa kufikiwa na maji safi kabisa kutoka Ziwa Tanganyika.

Huu utakuwa ni mradi mwingine mkubwa wa kutoa maji ziwani kama ule wa Ziwa Victoria.

My Take
Nawakumbusha tuu CHADEMA kwamba Samia atakuwa anawajibu kwa vitendo nyie endeleeni vuvuzela.

Nawakumbusha tuu kuna miradi mingine mikubwa ya maji inaendelea kama Bwawa la Kudunda, Bwawa la Farkwa, Ziwa Victoria nk.

===

The government is set to start undertaking construction of an ambitious project to draw fresh water from Lake Tanganyika in Nkasi District of Rukwa Region and supply it to five regions during the 2023/2024 Financial Year (FY).

The regions that will strategically benefit from the ambitious project are Songwe, Katavi and Rukwa regions as well as part of Mbeya and Tabora Regions.

Speaking to the ‘Daily News’ recently the Rural and Urban Water Supply Agency (RUWASA) Rukwa Regional Manager, Engineer Boaz Matundali, said that the water will be pumped from Wampembe ward.

He went on to explain that preparations for the project started last December, when a team of experts from the Ministry of Water carried out pre- feasibility studies and detailed engineering design under the National Water Grid System.

Eng Matundali detailed that pre – feasibility studies and detailed engineering design was done in 2020 in Rukwa and Katavi regions.

He further explained that the team of experts had four options of water sources; including Kabwe and Wampembe wards in Nkasi and Kasanga in Kalambo district. The other on the list was Karema ward in Tanganyika district.

“However, Wampembe was chosen as the best source for the project that is optimum cheaper compared to other three water sources,” said Eng Matundali.

He further said the Ministry of Water will engage the consultant ahead of feasibility and detailed designs as well as Environmental Impact Assessment (EIA) studies and tendering documents.

Across – section of citizens from Mpanda Sumbawanga Town interviewed by the ‘Daily News’ heaped praises to the sixth phase administration under President Samia Suluhu Hassan for its determination to end water woes from the precincts.

“Though we are closer to Lake Tanganyika yet we have been suffering for years due to dire shortage of water supply particularly during dry seasons,” said Esther Mlugu a mother of three.

Daily News
 
Samahani. Mkataba wa Bandari umetutoa imani kabisa!!! Hata huo mpango tunahisi tutapigwa tu
 
Ma Shaa Allah. Nani kama mama?
 
Wakifikisha tu hata Kigoma mjini yaani maji ya Kigoma yatokee Ziwa Tanganyika itakuwa ni muujiza, hawana uwezo wa kufanya chochote kile, hivyo hizo ni porojo tu, Uislamu hauwezi kujenga nchi hata siku moja kazi ni uchuuzi tu, lkn sasa shida inakuja panapokuwa hakuna cha kuchuuza wanagawa Bandari.

Maji ya Ziwa Victoria yalikuwa yafike mpaka Singida lkn wapiga kazi wameondolewa, hivyo hakuna kitu hapo isipokuwa porojo tu kama za utawala wa 4 wa kujenga mji wa Kigamboni eti USA walikuwa wanakuja kutujengea mji, uvivu haujengi nchi hata siku moja…
 
Kilio cha muda mrefu cha shida ya maji kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Magharibi mwa nchi kinaenda kufutwa rasmi.

Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais wa vitendo zaidi maneno machache Dr. Samia iko mbioni kuanza ujenzi mkubwa wa mradi wa maji wa Ziwa Tanganyika.

Kwa mujibu wa Meneja wa Ruwasa Rukwa, ujenzi wa mradi huo utaanza mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo mikoa 6 ya Rukwa, Katavi, Songwe, Tabora, Mbeya na Kigoma itanufaika kwa kufikiwa na maji safi kabisa kutoka Ziwa Tanganyika.

Huu utakuwa ni mradi mwingine mkubwa wa kutoa maji ziwani kama ule wa Ziwa Victoria.

My Take
Nawakumbusha tuu CHADEMA kwamba Samia atakuwa anawajibu kwa vitendo nyie endeleeni vuvuzela.

Nawakumbusha tuu kuna miradi mingine mikubwa ya maji inaendelea kama Bwawa la Kudunda, Bwawa la Farkwa, Ziwa Victoria nk.

===

The government is set to start undertaking construction of an ambitious project to draw fresh water from Lake Tanganyika in Nkasi District of Rukwa Region and supply it to five regions during the 2023/2024 Financial Year (FY).

The regions that will strategically benefit from the ambitious project are Songwe, Katavi and Rukwa regions as well as part of Mbeya and Tabora Regions.

Speaking to the ‘Daily News’ recently the Rural and Urban Water Supply Agency (RUWASA) Rukwa Regional Manager, Engineer Boaz Matundali, said that the water will be pumped from Wampembe ward.

He went on to explain that preparations for the project started last December, when a team of experts from the Ministry of Water carried out pre- feasibility studies and detailed engineering design under the National Water Grid System.

Eng Matundali detailed that pre – feasibility studies and detailed engineering design was done in 2020 in Rukwa and Katavi regions.

He further explained that the team of experts had four options of water sources; including Kabwe and Wampembe wards in Nkasi and Kasanga in Kalambo district. The other on the list was Karema ward in Tanganyika district.

“However, Wampembe was chosen as the best source for the project that is optimum cheaper compared to other three water sources,” said Eng Matundali.

He further said the Ministry of Water will engage the consultant ahead of feasibility and detailed designs as well as Environmental Impact Assessment (EIA) studies and tendering documents.

Across – section of citizens from Mpanda Sumbawanga Town interviewed by the ‘Daily News’ heaped praises to the sixth phase administration under President Samia Suluhu Hassan for its determination to end water woes from the precincts.

“Though we are closer to Lake Tanganyika yet we have been suffering for years due to dire shortage of water supply particularly during dry seasons,” said Esther Mlugu a mother of three.

Daily News
Magu alifariki 2021!
 
Hizi Projects tulipaswa kuwa tumezifanya 20 years back,hmna jipya!
 
Wakifikisha tu hata Kigoma mjini yaani maji ya Kigoma yatokee Ziwa Tanganyika itakuwa ni muujiza, hawana uwezo wa kufanya chochote kile, hivyo hizo ni porojo tu, Uislamu hauwezi kujenga nchi hata siku moja kazi ni uchuuzi tu, lkn sasa shida inakuja panapokuwa hakuna cha kuchuuza wanagawa Bandari.

Maji ya Ziwa Victoria yalikuwa yafike mpaka Singida lkn wapiga kazi wameondolewa, hivyo hakuna kitu hapo isipokuwa porojo tu kama za utawala wa kikwete wa kujenga mji wa Kigamboni eti USA walikuwa wanakuja kutujengea mji, uvivu haujengi nchi hata siku moja…
Hahahaaa!Unamaumivu sana.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mradi ulisimama kwamiaka miwili.
Mradi upi ambao ulisimama wakati hata feasibility study ilifanyika mwaka 2021 na detailed design ndio inafanyika?

Mwisho kusimamisha Kwa mradi ndio kushindwa kwenyewe Kwa Magu.
 
"
Eng Matundali detailed that pre – feasibility studies and detailed engineering design was done in 2020 in Rukwa and Katavi regions."
 
Back
Top Bottom