Timu yetu inacheza Jumatatu, Uwanja wa Lake Tanganyika Saa 10:00 Jioni

Bachelor ll

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,561
6,108
“Uchungu wa Mwana aujuaye ni Mzazi” Twendeni twendeni Uwanjani kwa wingi Timu yetu inacheza Jumatatu Ktk Uwanja wa Lake Tanganyika Saa 10:00 Jioni.

Tukajaze Uwanja Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi za nyumbani ni lazima tushinde Afe back Afe kipa point za nyumbani lazima tuchukue.

Hii mechi ni muhimu kwasababu point za nyumbani ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima tutumie mechi za nyumbani kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.

“Watakiona Cha Mtema kuni” Timu ya Geita Gold fc Uwanja wa LAKE TANGANYIKA ni Machinjioni Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu.

kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma.
#MapigonaMwendo
Isha’Allah tunashinda
Note
Kwa watu wa kubet mpe mashujaa Goli 2 utakuja kunishukuru baadae
 
Yaani mnataka Point 75 msimu huu? Basi wawape Kombe lenu tufunge ligi Hakuna wa kiwafikia.
 
Mnarudi mlikotoka
 
Aahaaaa,nakukubali sana timu hii ya nyumbani
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom