Watu wako kwenye furaha ndiyo maana unaona wodi za wazazi zinafurika, ukiwa nyoyo zimejikunja kwa dhiki utayaweza hayo?
I fully expected it!! Nilijua lazima utagota tu! Now there you are!! Futari ya IKULU inakulevya na kwa vile always ni mnafiki inabidi u-maintain hiyo hali!! YAANI WAMAMA WAJAWAZITO WATATU WANACHANGIA KITANDA KIMOJA WEWE UNASEMA WAKO KWENYE FURAHA!!? I am sure you are more than crazy!!
